Fund man
JF-Expert Member
- Feb 24, 2021
- 3,629
- 4,831
Kuiba penzi la mtu mwingine siyo kosa la jinai?
Ndio hajabakwa amekubali mwenyewe na ana miaka zaidi ya 18.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuiba penzi la mtu mwingine siyo kosa la jinai?
Maxence Melo umezingua turudishie muonekano wetu😅😅Anaweza asiuone, huu muonekano wenyewe kipengele, mwonekano una vibatani vikubwa kama vya ATM mashine. 😂😂😂
No sio kosa la jinai, ni kosa la madai, mwizi wa penzi hapaswi kushikiliwa lupango!.Kuiba penzi la mtu mwingine siyo kosa la jinai?
Dah poleni aiseh..... Mungu ampe nguvuMwanajamii mwenzetu yupo korokoroni kwa kosa la fumanizi! Member mwenzetu huyo alikuwa akidate na mwanaume kumbe ni mume wamtu. Hivo jana wakiwa maeneo ya sinza walidakwa wakivunja amri ya sita ndipo kizazaa kilipoanza. Amekamatwa majira ya saa 7 usiku. Bado tunaendelea kumpambania atoke korokoroni tumwombeeni jamani. Kama utagundua leo hajaonekana kwenye jukwaa lolote tumwombeeni jamani maana pia alipigwa kutokana na hiyo fumanizi.View attachment 2248644
In general wizi ni jinai?No sio kosa la jinai, ni kosa la madai, mwizi wa penzi hapaswi kushikiliwa lupango!.
Kuna baadhi ya makosa, yakiwemo wizi wa penzi, sio makosa ya jinai, ni crimes against morality.
P
Ili kufanyike jinai, lazima mambo mawili haya yatokee, 1. Actus Reus - kitendo cha hiyo jinaiIn general wizi ni jinai?
Sasa basi, ni hekima au falsafa gani imetumika kuondoa wizi wa penzi kwenye uasili wake wa jinai?
Ukiwa mbobezi wa sheria, hauoni departure hiyo inaanza kuleta madhara kwenye jamii? Tumeona issue ya Bw. Saidi na nyingine nyingi!
Asante mkuu, nimepata darasa vizuri na nimeelewa.Ili kufanyike jinai, lazima mambo mawili haya yatokee, 1. Actus Reus - kitendo cha hiyo jinai
2. Men's Rea - nia ovu ya kutenda jinai.
Kwenye wizi wa kawaida, mambo hayo mawili hutokea, lakini kwenye wizi wa penzi, kunatokea tendo tuu la ndoa na linafanyika kwa consensus kati ya wawili hao kwa lengo la kula Raha. Actus Reus ya kufanya mapenzi kwa consensus Kwa njia ya kawaida sio jinai, na mens rea ya kula raha ya penzi pia sio jinai, unless ni minor, rape or unnatural.
Kitu ambacho nakubalina na wewe, huu wizi wa penzi inasababisha majanga mengi na jinai nyingi na ndicho chanzo kikubwa cha mauaji.
Ili kupunguza wizi wa penzi, kitu cha kwanza ni tukomeshe bride price kwenye ndoa zetu. Watu waoane kwa mapenzi tuu bila mahari, siku mapenzi yakiisha waagane bila hostilities.
Haya mambo ya mwanamume kuchumbia ni pesa, kulipia mahari ni pesa, kunamfanya mume kujisikia kama amemnunua huyo mke, he owns her na kumfanya ni mali yake. Hivyo akiibiwa ana mind sana wengine hadi kuua na kujiua.
Tukiondoa mahari wanandoa wataingia kwenye ndoa kwa mapenzi as equal partners. Mke akikuta poor performance hana haja ya kujiiba kujazilizia, anaaga tuu na kutambaa zake,ndivyo wafanyavyo wenzetu wazungu, wanaoana kwa mapenzi, siku penzi limekwisha, mbaagana tuu na kuachana. Mke aliyeolewa kwa mahari, akikuta mume ni underperforming, hawawezi kusema, anabaki kujilalia njaa kila siku, hivyo na yeye lazima atafanya mikakati naye awe anashibishwa kwa kujiiba.
Sisi wanaume lazima tujifunze uvumilivu na ustahimilivu, mimi ni mmoja wa mabingwa wa eneo hili. Nimeendesha darasa hata humu JF Enyi Waume Wapendeni Wake Zenu!-Wife Kanirudia Saa12:00 Asubuhi!-Bado Nampenda!
P
PointIli kufanyike jinai, lazima mambo mawili haya yatokee, 1. Actus Reus - kitendo cha hiyo jinai

Huyu namfahamu,Kuna Uzi aliuweka wa kutafuta mwenza,akaweka na kigezo kikuu awe mrefu .ID yake inaanzia na jina m.........,ni mwenyeji wa mikoa ile ya mvua nyingi.Mwanajamii mwenzetu yupo korokoroni kwa kosa la fumanizi! Member mwenzetu huyo alikuwa akidate na mwanaume kumbe ni mume wamtu. Hivo jana wakiwa maeneo ya sinza walidakwa wakivunja amri ya sita ndipo kizazaa kilipoanza. Amekamatwa majira ya saa 7 usiku. Bado tunaendelea kumpambania atoke korokoroni tumwombeeni jamani. Kama utagundua leo hajaonekana kwenye jukwaa lolote tumwombeeni jamani maana pia alipigwa kutokana na hiyo fumanizi.View attachment 2248644
Jf imekua yakibabe sanaKwa hiyo huu muenekano mpya wa jf hajauona bado?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]Khaaa bora nimecomment.
Kwa hiyo mwanajf wa kike asiyecomment jukwaa lolote leo, ndio anakuwa kafumaniwa!?
Tunamuombea bila kujua jina lake? Eti mzabzab tujue jina ili maombi yaende kisawa sawaUpdates: Ametoka jamani yupo mtaani anajuta sana jamani analia tu members wa celebrity, MMU, ChitChat na habari na hoja mchanganyiko tumwombeeni arudi katika hali yake!