Mwana Jamii mwenzetu yupo korokoroni!

Mwana Jamii mwenzetu yupo korokoroni!

Kafumaniwa na mume wa mtu huko sinza ila yeye hakujua na wala alikuwa hajui jamaa ni mume wa mtu. Hivo wamempiga piga, wakampeleka polisi kwa madai ya wizi na ulaghai kwa kutumia video. Hivo mpaka muda hu sa 5 hii yupo korokoroni. Tumempelekea msosi amegoma kula kabisa ila nduguze wanajaribu kuyamaliza hapa kituoni.
Ndugu zake wawasiliane na Muliro. Polisi walioshiriki kubambikiza kesi hawana kazi
 
Updates: Ametoka jamani yupo mtaani anajuta sana jamani analia tu members wa celebrity, MMU, ChitChat na habari na hoja mchanganyiko tumwombeeni arudi katika hali yake!
Ni wewe ndie ulifumaniwa eeh!
Sio kwa Ushabiki huu.
 
Tumemshirikilia kwa usalama wake.
It's true, kwenye kesi za fumanizi, sometimes it's safe sio kumshikilia mtuhumiwa kwa usalama wake, bali kuwashikilia watuhumiwa kwa usalama wao, ila watuhumiwa wanaoshikiliwa kwa usalama wao, hawawekwi lupango, wanawekwa mapumzikoni kituoni kwa muda wa saa 24 tuu, ili hasira za mwenye mali zipoe, tena wanapaswa kushikiliwa wote wawili, ili kumzuia mwenye mali asifanye kitu kibaya under provocation.

Mbona kwenye tukio letu amezuiliwa mwizi mmoja tuu wakati wote wawili ni wezi?.
P
 
Ndio maana sitaki Kujuana humu!! Mambo gani sasa haya,Mtu Umenasiana huko watu tayari huku washatupiaa...
 
Back
Top Bottom