Maskini Mie, Nadhani sasa amepata mchuchu mwingine ndo maana kabadili ID! Naaza kukata tamaaMahondaw kabidili jina sasa anajiita Antonnia ili wadau wasimjue!
Hv kumbe member kwa member wanapelekeana 🔥🔥 vizuri tuUshamjua si unaona haonekani ukimya umemtanda!
Hawezi hata siku moja akakaa single, ni mrembo ajabu na anayajua majambo huyo @mahondaw na sasa Antonnia Nisalimie mkionana na mtakie maisha mema ila akumbuke kuna risasi saba si kwa Sahlsa tuYupo single hana mtu we rusha ndoano!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebuu tufanye nawee, afu mkeo atufumanie. Unaonaje?
Punguza wasiwasi bi mdogo mbona unajishtukiaKhaaa bora nimecomment.
Kwa hiyo mwanajf wa kike asiyecomment jukwaa lolote leo, ndio anakuwa kafumaniwa!?