Mwana JamiiForums Faizafoxy yupo wapi?

Mwana JamiiForums Faizafoxy yupo wapi?

Ndugu zangu Watanzania,

Jamii forum ni kama familia ,tena familia kubwa sana japo hatufahamiani wala kuonana lakini makala zetu na michango yetu humu jukwaani imetufanya tukafahamiana hata kwa itikadi za kisiasa. Mimi binafsi kuna member nimekuwa nikiwafuatilia kwa muda mrefu sana na kupenda kusoma makala zao .mmoja wapo ni huyu member aitwaye Faizafoxy ambaye sijamuona kwa muda mrefu sana humu jukwaani.

Kama ni buheri wa afya angefanya hata kuja mara moja kusalimia na kutoa hata maoni yake juu ya miradi mikubwa miwili iliyoanza kazi na Kuitetemesha Tanzania na Duniani nzima kwa ujumla, kwa namna mama wa shoka Mama Samia alivyo imaliza kibabe na kihodari. Miradi hii ni ule wa SGR pamoja na ule wa bwawa la mwalimu Nyerere ambapo mtambo namba Tisa umewashwa ambao unazalisha megawati 235 ambao ni zaidi ya vinu vyote vya bwawa la kidatu linalozalisha megawati 204 na Mtera megawati 80.

Ningemuomba mama huyu Faizafoxy kama anapitia humu aje atoe hata mchango wake juu ya historia ya kipekee kabisa iliyoandikwa katika Taifa letu hili la Tanzania.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
Kwa mradi wa umemee huo Serikali inastahili sifa 🫡..maana sasa nna siku 4 Umeme haujakatika Pongezi kwa hilo..

Ila kwa mambo mengine mpaka watakapo yaweka sawa kama treni na Sukari ni Aibu kuizungumzia..
 
Luca unafaa ugombee ubunge! Unajua kumuingiza mtu kingi kwa maneno yako.
Mimi mzima kabisa, hofu kwako
😀😀😀 Nashukuruuu Sanaaaa kama unaendelea salama kabisa .nami pia naendelea salama kabisa hofu kwako tu.. Hivi majuzi tu hapa nilikuwa nakutafuta kujuwa kama upo au haupo ndipo nikaja kukupata katika uzi wa yule jamaa aliyesema kuwa anataka kupaki gari ili atumie usafiri wa umma.nikaona namna ulivyoshusha NONDO za mahesabu utafikiri mfanyakazi kipanga aliyepata daraja la kwanza chuo kikuu cha Havard au yale au Oxford au udsm Katika kozi uchumi.

Nashukuru pia kunishauri nigombee ubunge maana hata mwalimu wangu miaka fulani mbele ya darasa zima amewahi kunishauri nigombee ubunge kwetu na wanafunzi wote wakaunga mkono kwa hisia kali sana na kutamani wanichangie pesa ya Fomu kwa wakati huo.

Ningekuwa Rais nakuhakikishia kwa dhati ya moyo wangu kuwa ningekuteua ephen.
 
Kama una ndoto ya kua rais pambania ndoto yako kila kitu kinawezekana ukitia NIA
Process gani zinatakiwa ili ugombee ubunge
Yani CCM imesababisha ubunge uonekane kichaa yeyote anaweza kuwa mbunge.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Jamii forum ni kama familia ,tena familia kubwa sana japo hatufahamiani wala kuonana lakini makala zetu na michango yetu humu jukwaani imetufanya tukafahamiana hata kwa itikadi za kisiasa. Mimi binafsi kuna member nimekuwa nikiwafuatilia kwa muda mrefu sana na kupenda kusoma makala zao .mmoja wapo ni huyu member aitwaye Faizafoxy ambaye sijamuona kwa muda mrefu sana humu jukwaani.

Kama ni buheri wa afya angefanya hata kuja mara moja kusalimia na kutoa hata maoni yake juu ya miradi mikubwa miwili iliyoanza kazi na Kuitetemesha Tanzania na Duniani nzima kwa ujumla, kwa namna mama wa shoka Mama Samia alivyo imaliza kibabe na kihodari. Miradi hii ni ule wa SGR pamoja na ule wa bwawa la mwalimu Nyerere ambapo mtambo namba Tisa umewashwa ambao unazalisha megawati 235 ambao ni zaidi ya vinu vyote vya bwawa la kidatu linalozalisha megawati 204 na Mtera megawati 80.

Ningemuomba mama huyu Faizafoxy kama anapitia humu aje atoe hata mchango wake juu ya historia ya kipekee kabisa iliyoandikwa katika Taifa letu hili la Tanzania.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
Labda yupo ghaza ameenda kuilingania dini ya mnyaaanzi
 
Alishajitoa mhanga kwa kujilipua kwa mabomu kuwatetea ndugu zake wapelestina😀😀😀😀😀
 
Kama una ndoto ya kua rais pambania ndoto yako kila kitu kinawezekana ukitia NIA
Process gani zinatakiwa ili ugombee ubunge
Kikubwa ni kuwa mwanachama wa chama cha siasa.ambapo mimi tayari ni mwanachama wa CCM. Kikatiba unatakiwa uwe na umri kuanzia miaka 21,uwe raia wa Tanzania,uwe hujawahi kutiwa hatiani kwa makosa ya ukwepaji kodi ,uwe umependekezwa na kuteuliwa na chama chako kupeperusha bendera yake.

Mimi nina vigezo vyote .kama ni maji unaweza kusema yamejaa mpaka yanamwagika. Kikubwa ni kuwa mimi sijawahi kugombea ila watu huwa wananiona ni kama Mbunge anateyetembea. Yaani kwamba ninastahili kuwepo bungeni.

Japo sina nia ya kugombea ubunge zaidi ya kuipigania CCM na kumsemea Rais Samia na kumpigania kwa wananchi. Mimi naipenda sana siasa na siasa inanipenda mpaka inabubujikwa na machozi ya furaha kwa namna ninavyoitendea haki na kuikosha. Nina uwezo wa kuzungumza nakugusa hisia za watu mpaka watu wote wakajikuta wanatokwa machozi utafikiri wamepakwa pilipili machoni.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Jamii forum ni kama familia ,tena familia kubwa sana japo hatufahamiani wala kuonana lakini makala zetu na michango yetu humu jukwaani imetufanya tukafahamiana hata kwa itikadi za kisiasa. Mimi binafsi kuna member nimekuwa nikiwafuatilia kwa muda mrefu sana na kupenda kusoma makala zao .mmoja wapo ni huyu member aitwaye Faizafoxy ambaye sijamuona kwa muda mrefu sana humu jukwaani.

Kama ni buheri wa afya angefanya hata kuja mara moja kusalimia na kutoa hata maoni yake juu ya miradi mikubwa miwili iliyoanza kazi na Kuitetemesha Tanzania na Duniani nzima kwa ujumla, kwa namna mama wa shoka Mama Samia alivyo imaliza kibabe na kihodari. Miradi hii ni ule wa SGR pamoja na ule wa bwawa la mwalimu Nyerere ambapo mtambo namba Tisa umewashwa ambao unazalisha megawati 235 ambao ni zaidi ya vinu vyote vya bwawa la kidatu linalozalisha megawati 204 na Mtera megawati 80.

Ningemuomba mama huyu Faizafoxy kama anapitia humu aje atoe hata mchango wake juu ya historia ya kipekee kabisa iliyoandikwa katika Taifa letu hili la Tanzania.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
Aliniacha hoi aliposema serikali iruhusu bangi na gongo ili ikusanye kodi
 
Back
Top Bottom