Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mradi wa umemee huo Serikali inastahili sifa 🫡..maana sasa nna siku 4 Umeme haujakatika Pongezi kwa hilo..Ndugu zangu Watanzania,
Jamii forum ni kama familia ,tena familia kubwa sana japo hatufahamiani wala kuonana lakini makala zetu na michango yetu humu jukwaani imetufanya tukafahamiana hata kwa itikadi za kisiasa. Mimi binafsi kuna member nimekuwa nikiwafuatilia kwa muda mrefu sana na kupenda kusoma makala zao .mmoja wapo ni huyu member aitwaye Faizafoxy ambaye sijamuona kwa muda mrefu sana humu jukwaani.
Kama ni buheri wa afya angefanya hata kuja mara moja kusalimia na kutoa hata maoni yake juu ya miradi mikubwa miwili iliyoanza kazi na Kuitetemesha Tanzania na Duniani nzima kwa ujumla, kwa namna mama wa shoka Mama Samia alivyo imaliza kibabe na kihodari. Miradi hii ni ule wa SGR pamoja na ule wa bwawa la mwalimu Nyerere ambapo mtambo namba Tisa umewashwa ambao unazalisha megawati 235 ambao ni zaidi ya vinu vyote vya bwawa la kidatu linalozalisha megawati 204 na Mtera megawati 80.
Ningemuomba mama huyu Faizafoxy kama anapitia humu aje atoe hata mchango wake juu ya historia ya kipekee kabisa iliyoandikwa katika Taifa letu hili la Tanzania.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
😀😀😀 Nashukuruuu Sanaaaa kama unaendelea salama kabisa .nami pia naendelea salama kabisa hofu kwako tu.. Hivi majuzi tu hapa nilikuwa nakutafuta kujuwa kama upo au haupo ndipo nikaja kukupata katika uzi wa yule jamaa aliyesema kuwa anataka kupaki gari ili atumie usafiri wa umma.nikaona namna ulivyoshusha NONDO za mahesabu utafikiri mfanyakazi kipanga aliyepata daraja la kwanza chuo kikuu cha Havard au yale au Oxford au udsm Katika kozi uchumi.Luca unafaa ugombee ubunge! Unajua kumuingiza mtu kingi kwa maneno yako.
Mimi mzima kabisa, hofu kwako
Baada Allah kuwatelekeza Wapalestina huyu Ustazati Hana Amani kabisa.Yuko zake Afghanstan. Ameolewa na Kamanda wa Taliban. Ni wiki iliyopita tu tulitoka kula pilau la kumuozesha. Na kama huamini, muulize THE BIG SHOW!
Wapi huko ambako umeme haukatiki?Kwa mradi wa umemee huo Serikali inastahili sifa 🫡..maana sasa nna siku 4 Umeme haujakatika Pongezi kwa hilo..
Ila kwa mambo mengine mpaka watakapo yaweka sawa kama treni na Sukari ni Aibu kuizungumzia..
Kigamboni MkuuWapi huko ambako umeme haukatiki?
Basi kaaa kimya, wasije wakakusikia, kuna ukatikaji wa kawaida wenyewe wanavyodai.Kigamboni Mkuu
Yani CCM imesababisha ubunge uonekane kichaa yeyote anaweza kuwa mbunge.Kama una ndoto ya kua rais pambania ndoto yako kila kitu kinawezekana ukitia NIA
Process gani zinatakiwa ili ugombee ubunge
Labda yupo ghaza ameenda kuilingania dini ya mnyaaanziNdugu zangu Watanzania,
Jamii forum ni kama familia ,tena familia kubwa sana japo hatufahamiani wala kuonana lakini makala zetu na michango yetu humu jukwaani imetufanya tukafahamiana hata kwa itikadi za kisiasa. Mimi binafsi kuna member nimekuwa nikiwafuatilia kwa muda mrefu sana na kupenda kusoma makala zao .mmoja wapo ni huyu member aitwaye Faizafoxy ambaye sijamuona kwa muda mrefu sana humu jukwaani.
Kama ni buheri wa afya angefanya hata kuja mara moja kusalimia na kutoa hata maoni yake juu ya miradi mikubwa miwili iliyoanza kazi na Kuitetemesha Tanzania na Duniani nzima kwa ujumla, kwa namna mama wa shoka Mama Samia alivyo imaliza kibabe na kihodari. Miradi hii ni ule wa SGR pamoja na ule wa bwawa la mwalimu Nyerere ambapo mtambo namba Tisa umewashwa ambao unazalisha megawati 235 ambao ni zaidi ya vinu vyote vya bwawa la kidatu linalozalisha megawati 204 na Mtera megawati 80.
Ningemuomba mama huyu Faizafoxy kama anapitia humu aje atoe hata mchango wake juu ya historia ya kipekee kabisa iliyoandikwa katika Taifa letu hili la Tanzania.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
🤣🤣🤣🤣Chawa mna kazi Sana, umesahau kuweka namba ya simu.
Wewe lini unaenda kuolewa Tel Aviv? kule kwa mwanzo ulisha achika kwani?Yuko zake Afghanstan. Ameolewa na Kamanda wa Taliban. Ni wiki iliyopita tu tulitoka kula pilau la kumuozesha. Na kama huamini, muulize THE BIG SHOW!
Alishajitoa mhanga kwa kujilipua kwa mabomu kuwatetea ndugu zake wapelestina😀😀😀😀😀Ndugu zangu Watanzania,
Jamii forum ni kama familia ,tena familia kubwa sana japo hatufahamiani wala kuonana lakini makala zetu na michango yetu humu jukwaani imetufanya tukafahamiana hata kwa itikadi za kisiasa. Mimi binafsi kuna member nimekuwa nikiwafuatilia kwa muda mrefu sana na kupenda kusoma makala zao .mmoja wapo ni huyu member aitwaye Faizafoxy ambaye sijamuona kwa muda mrefu sana humu jukwaani.
Kama ni buheri wa afya angefanya hata kuja mara moja kusalimia na kutoa hata maoni yake juu ya miradi mikubwa miwili iliyoanza kazi na Kuitetemesha Tanzania na Duniani nzima kwa ujumla, kwa namna mama wa shoka Mama Samia alivyo imaliza kibabe na kihodari. Miradi hii ni ule wa SGR pamoja na ule wa bwawa la mwalimu Nyerere ambapo mtambo namba Tisa umewashwa ambao unazalisha megawati 235 ambao ni zaidi ya vinu vyote vya bwawa la kidatu linalozalisha megawati 204 na Mtera megawati 80.
Ningemuomba mama huyu Faizafoxy kama anapitia humu aje atoe hata mchango wake juu ya historia ya kipekee kabisa iliyoandikwa katika Taifa letu hili la Tanzania.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
Tukutongoze🤣🤣🤣Namba ya simu ya nini?
Kikubwa ni kuwa mwanachama wa chama cha siasa.ambapo mimi tayari ni mwanachama wa CCM. Kikatiba unatakiwa uwe na umri kuanzia miaka 21,uwe raia wa Tanzania,uwe hujawahi kutiwa hatiani kwa makosa ya ukwepaji kodi ,uwe umependekezwa na kuteuliwa na chama chako kupeperusha bendera yake.Kama una ndoto ya kua rais pambania ndoto yako kila kitu kinawezekana ukitia NIA
Process gani zinatakiwa ili ugombee ubunge
Aliniacha hoi aliposema serikali iruhusu bangi na gongo ili ikusanye kodiNdugu zangu Watanzania,