Uchaguzi 2020 Mwana JamiiForums Happiness Essau, achukua fomu ya Ubunge Jimbo la Bukoba

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Happiness Essau ALITAKA JIMBO LA BUKOBA MJINI, AJITOSA KUCHUKUA FOMU

Bi Happiness Essau akikabidhiwa fomu yake ya kugombea Ubunge Jimbo la Bukoba Mjini kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Bi Happiness Essau amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge wa Jimbo la Bukoba Mjini kupitia (CCM).
 
Roving Journalist, Ok noted

Chama kinatiwa najisi cha mapinduzi

Chama kimegeuzwa sehemu ya kuonyeshea maigizo

Dunia ina vituko sana na vichekesho zaidi

Wasiojielewa na mbumbumbu wote wanachukua fomu ili wakatunge sheria zikatumike mahakamani

Kuna watia nia wengine ukiwaangalia sura zao tu inaonyesha hawaelewi kazi ya mbunge na kazi ya bunge

Hii ni fedhea kukidhalilisha chama cha mapinduzi,Watu wanakiabisha chama

Kwa hiyo ukiondoa wale wahamihaji toka chadema na wajenga hoja toka chadema,Chamani tumebaki na steve Nyerere na Mpoki comedian kweli?

Hivi Mpoki na Steve wanaweza chambua vifungu vya sheria bungeni?

Kuna kitu hakipo sawa chamani,Sasa mbumbumbu na wasiojielewa wa
megeuza chama sehemu ya maonyesho na kuvaa nguo za kijani,

Hii ni aibu kuu
Nasema wamekidhalilisha chama


Matapeli na wasanii wasio na kazi maalum wamo

Hii ni aibu kuu
 
Mbona naitafuta sana humu ( hapa ) hiyo ID yenye Jina lake la Happiness Essau ili niwe naona Michango yake ya Akili lakini haionekani Mkuu?
Ni mfanyakazi wa JamiiForums ndiye Afisa habari wao huyo dada
 
Unamhukumu vipi mtu kupitia sura au muonekano wake?
 
βœ”βœ”βœ”βœ…βœ…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…