Uchaguzi 2020 Mwana JamiiForums Happiness Essau, achukua fomu ya Ubunge Jimbo la Bukoba

Sorry mkuu nilipitia comment za huyo dada niliona anasema ni afisa habari wa jamii media...

Kwahiyo Wewe utakuwa ukiona tu kila ' Kinachokomentiwa ' hapa ni cha Ukweli kisha nawe unakibeba hivyo hivyo kama Inzi wa Soko la Tandale?
 
Kuchukua form imekuwa fashion

Ova
 
Mbona naitafuta sana humu ( hapa ) hiyo ID yenye Jina lake la Happiness Essau ili niwe naona Michango yake ya Akili lakini haionekani Mkuu?
 
Heri wewe umesema...
 
Mara ya mwisho kuonekana JF ni 2017!
 
Congratulations Bi Happiness, InshaAllah utafanikiwa na utashinda.

Jamaani huyu ni mwenzetu, tusimvunje nia, tusimjengee mizingwe na unafiki. Tumuunge mkono tumjengee moyo, tumpe ushauri mzuri, hebu tuungani tumpate mbunge mwana JF nwenzetu amabye atakwenda bungeni na siasa mbadala za kuwaunganisha wananchi na kuzifanya siasa za vyama vingi siasa zenye afya na upendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…