TANZIA Mwana JamiiForums Miguu ya Kuku/ Mpauko afariki dunia

Ni huyo huyo nae alikuwa anakaa mbezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu kijana amejinyonga jamani, duh! kukata tamaa ya maisha ni kubaya sana
 
Hii itakuwa mara ya pili naandika jamii forum tangu nimejiunga,

Nimeguswa sana na Msiba huu wa mdau,hasa baada ya kupitia nyuzi zake mbali mbali,sikubahatika kumfaham marehem kabla ya leo,lkn kuna jambo kubwa nimejifunza.

WE JUST OLDNARY PEOPLE,LETS BE GOOD FOR EACH OTHER WHILE WE STILL CAN,
RIP BROTHER,

Kifo hiki kiwe funzo kwetu na uongoz mzima wa jamii forum.

Kuna wimbo unaitwa: USIKATE AKIKUITA,uliimbwa na Lady Jaydee,Mad icee na wengine!
Jipe mda kuusikiliza kuna jambo pia la kujitunza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni uswahili tu ukiangalia post hizi jamaa alizo attach hapa inaonesha tu hii kiki ameanza kuisuka tangu mwezi wa kumi na mbili 2019 na sasa ameamua kujimejakunta[emoji23]

Mbwa wewe!
 
Huyu kijana amejinyonga jamani, duh! kukata tamaa ya maisha ni kubaya sana
Mimi pia nina tatizo kama lake ( kutosikia vizuri) .nilitumia hali hiyo kumpa moyo kila namna kwamba it's OKAY.nilikuwa nampa maneno ya kila namna kumuongezea nguvu ya mapambano ya maisha.but alikuwa na moyo mwepesi mnoo.amenisikitisha sana kwa maamuzi aliyochukua.nimejikuta namwaga chozi kutwa nzima leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni huyo huyo nae alikuwa anakaa mbezi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila sema tu kwa sababu ya hiyo depression aliyokuwa nayo lakini kujinyongea nyumbani kwa mtu aliyeamua kumsaidia kama msamaria mwema haijakaa vizuri. Amemwachia mtihani na usumbufu mkubwa ambao unaweza kumfanya ajutie kuishi nae na majuto hayo yanaweza hata kumfanya akafikia uamuzi wa kutokuja kumsaidia tena mhitaji mwingine kwa kiwango kama hicho alichomsaidia huyo aliyejiua. Yaani aliamua kumwachia msala huyo msamaria mwema.
 
Mi sijui nilikuwaga wapi, sikubahatika kuzisoma zile thredi.

Nahisi ningezisoma, ningechuma dhambi ambayo ingenitesa sana.
Mungu naomba unifundishe kunyamaza.

 
Najua mlokua mnawasiliana aliniambia pia..leo nimeshindwa kabisa kufanya kazi dah so amewasiliana na mm week moja mbele akajiua...i wish ningemjua huyo boss wake kwa hapa jf..dah
Aaagh kumbe wewe ndie dada manengelo!!! He said ..." manengelo ni mwanamke mwema sana"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeumia Sana.
Nimekumbuka alishawahi nipm sikujua Kama ni mpauko..kumbe alikuwa akitumia jina la miguu ya kuku.
Nilimjibu baada ya mwezi kupita lakini hakunijibu Tena.
Na Mimi akili ya kufwatilia japo posts zake Sikuwa nayo..laiti ningejua Kama miguu ya kuku ndiye huyo mpauko basi ningefanya bidii zaidi kumtafuta japo kuongea naye.
Mungu nirehemu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I second you.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…