OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni huyo huyo nae alikuwa anakaa mbeziKuna siku nilikua napita eneo flani maeneo ya mbezi juu,hapa dar,tarehe hizo hizo,kunanyumba tuliona watu wamejaa nje na kunagari ya polisi
Baada ya kuuliza kuna tukiogani,tukaambiwa kuna kijana kajinyonga,alikua anakaa katika nyumba ile kwa kusaidiwa tu,na huyo mwenyenyumba.
Nikaambiwa kuwa kijana huyo alikua kabila la kihehe,na alikua anatatizo la kusikia...aliletwa kuishi pale akitokea mtwara,na alikuja kusaidiwa mambo ya kusoma chuo,na alikua bado mwanafunzi.
Kwa maelezo ya mtoa maada nimekonect dot nimehisi lile tukio linaweza kuwa ndo hili.
Mimi tuliwasiliana sana.akaniambia hali yake ni nafuu kidogo dada yetu humu ni msaada sana kwake sasa sijui imekuwaje....hata siamini
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Hazchem plate kwakweli aje tu aseme chochote maana nimesoma post zake huko nyuma kwakweli alimdhihaki sana jamaa, too bad nimejiskia vibaya kweli kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi pia nina tatizo kama lake ( kutosikia vizuri) .nilitumia hali hiyo kumpa moyo kila namna kwamba it's OKAY.nilikuwa nampa maneno ya kila namna kumuongezea nguvu ya mapambano ya maisha.but alikuwa na moyo mwepesi mnoo.amenisikitisha sana kwa maamuzi aliyochukua.nimejikuta namwaga chozi kutwa nzima leo.Huyu kijana amejinyonga jamani, duh! kukata tamaa ya maisha ni kubaya sana
Ila sema tu kwa sababu ya hiyo depression aliyokuwa nayo lakini kujinyongea nyumbani kwa mtu aliyeamua kumsaidia kama msamaria mwema haijakaa vizuri. Amemwachia mtihani na usumbufu mkubwa ambao unaweza kumfanya ajutie kuishi nae na majuto hayo yanaweza hata kumfanya akafikia uamuzi wa kutokuja kumsaidia tena mhitaji mwingine kwa kiwango kama hicho alichomsaidia huyo aliyejiua. Yaani aliamua kumwachia msala huyo msamaria mwema.
Usiseme hivyoHuu ni uswahili tu ukiangalia post hizi jamaa alizo attach hapa inaonesha tu hii kiki ameanza kuisuka tangu mwezi wa kumi na mbili 2019 na sasa ameamua kujimejakunta[emoji23]
Mbwa wewe!
Mi sijui nilikuwaga wapi, sikubahatika kuzisoma zile thredi.Hii itakuwa mara ya pili naandika jamii forum tangu nimejiunga,
Nimeguswa sana na Msiba huu wa mdau,hasa baada ya kupitia nyuzi zake mbali mbali,sikubahatika kumfaham marehem kabla ya leo,lkn kuna jambo kubwa nimejifunza.
WE JUST OLDNARY PEOPLE,LETS BE GOOD FOR EACH OTHER WHILE WE STILL CAN,
RIP BROTHER,
Kifo hiki kiwe funzo kwetu na uongoz mzima wa jamii forum.
Kuna wimbo unaitwa: USIKATE AKIKUITA,uliimbwa na Lady Jaydee,Mad icee na wengine!
Jipe mda kuusikiliza kuna jambo pia la kujitunza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaaah kumbe! Ndio mana anaonyesha walikuwa karibu.marehemu aliniambia manengelo ni mtu mwema sana.@Wangai Mathaai
Aaagh kumbe wewe ndie dada manengelo!!! He said ..." manengelo ni mwanamke mwema sana"Najua mlokua mnawasiliana aliniambia pia..leo nimeshindwa kabisa kufanya kazi dah so amewasiliana na mm week moja mbele akajiua...i wish ningemjua huyo boss wake kwa hapa jf..dah
Manengelo hawezi kumtukana, Labda kama alikuwa anampigia akiwa vyombo au ubize kwenye Kazi zakeHuyo mama isijekuwa ni huyo Manengelow labda alikuja kumbadilikia baadae.
Manengelo hawezi kumtukana, Labda kama alikuwa anampigia akiwa vyombo au ubize kwenye Kazi zake
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
I second you.....Mshana Jr,
Mimi niliwahi kuandika huu uzi.....
Challenge kwa waanzilishi wa JF: Utaratibu/hatua za kufuata kumsaidia Mdau mwenye 'suicidal thoughts'
Wengi wao humu JF inakuwa porojo tu kuchangamsha baraza. Si kweli ya kuwa wanataka kujifupisha Maisha yaowww.jamiiforums.com
Nimeandika thread hii baada ya kuona ongezeko la thread za members wa JF wakitishia au wakitoa thread zenye mawazo ya muelekeo wa kujiua/ kukata tamaa ya maisha.
Pia, naelewa kuwa hiki nitakachosema kinaweza kisiwe kilifikiriwa mwanzoni na waanzishaji wa JF. Lakini ni kitu kizuri kama watafiikiria kukifanya.
Kwa social medias za nchi za wenzetu, kwa mfano Facebook, wana njia ambazo mtumiaji wa Facebook anaweza kuripoti post ambayo imekaa kiuelekeo wa mtu kuwa na suicidal thoughts, then kuna taratibu wanafanya nadhani kupitia 'hot lines' kwa wataalamu wa saikolojia kuweza kuwasiliana na mhusika na kumpa msaada wa counselling (sifahamu the exact procedure wanafanyeje, lakini najua kuna kitu wanafanya kwa watu wanaopost post za aina hiyo).
Sasa challenge kwa waanzilishi wa JF, je, hawaoni kama kuna umuhimu pia wa kuweza kuweka mechanism ya aina hiyo? Watu ambao wanapost thread za kutaka kujiua au kukata tamaa ya maisha, post zao zinakua identified, na ID zao, then wanakua contacted (na wanasaikolojia) kwa maongezi kupitia PM... kama wakiafiki na wakawa tayari kutoa mawasiliano yao ya simu, wanaweza kufikiwa pia kwa njia ya simu kwa kupigiwa kupitia a 'hot line' ambayo itakua imekua established.
Hii inaweza kusaidia sana pia hata wale wenye msongo wa mawazo tu na matatizo ya kisaikolojia (wako wengi sana humu, kwa kuangalia tu post watu wengi wametingwa sana, vichwa vyao vimejaa misongo).
JF inaweza ikawa link ya muhimu kati ya hawa watu na wanasaikolojia kupitia utaratibu maalum ambao utaruhusu anonymity ya mtu kuwa preserved if they wish so.
Kama waanzilishi wa JF mtakuwa tayari, mimi niko tayari kuandika a write-up ya kuombea fund hii idea BURE KABISA, ambayo mnaweza kuipeleka kwa potential NGOs ambazo ziko interested na mental and social health they might be interested.
Au, mnaweza kufanya hata kama ni kwa scope kidogo kwanza kwa kadri ya uwezo wenu bila kuhitaji a lot of funds.
What do you think guys?
Maxence Melo Moderator Invisible
Ila wadau wengi hawakunielewa kabisa, na wengine walinituhumu nina multiple IDs, natafuta kiki.
Nadhani ni muda wa kufanya kitu sasa.
Mshana Jr