Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo mtu humjui ukaona best thing ni kumsimanga mdogo wa marehemu wakati huo huo na wewe uliyafanya hayo,Wewe hapa kuna la maana umeongea?
Mtu simjui naambiwa kajiua unataka niongee nini uone ni cha maana. Niseme achievements zake au kipi hasa ninachojua. Njoo mwenyewe uongee hiyo maana.
Kabila hapana, labda useme baadhi ya familia!!Baadhi ya kabila mtu akishafariki simu huwa wazi na kupokelewa na ndg kujua kama kuna mtu anadaiwa na marehemu au kumdai marehemu.
Kila siku mnaambiwa jambo hilo hilo,
ipi hiyo?unique vee,
Michezo ya wana JF hii
Niliwasilianaga nae sana pm.pia aliniambia dada manengelo anamsaidia sana.tukaja poteana.nadhani nitaiamini hii taarifa kama itathibitishwa na @manengeloKila siku mnaambiwa jambo hilo hilo,
Ukitumia app utaona yupo online ukitumia web ndio utaona last seen yake ambayo ni January
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi tuliwasiliana sana.akaniambia hali yake ni nafuu kidogo dada yetu humu ni msaada sana kwake sasa sijui imekuwaje....hata siaminiMungu wangu!!!!
Huyu member alikuwa kweli ana matatizo ya kusikia.
Na kuna rafiki humu alikuwa anamuunganishia kazi ya ualimu akamsafirisha toka mkoani mpaka alipokuwa rafiki akafanya interview.
Lakini yule rafiki akaniambia jamaa ni shida sana kuongea nae na kufundisha itakuwa ngumu lakini akampa nauli na kumuahidi shule ikifunguliwa basi itabidi aje wampe probation kama ya mwezu kuona kama ataweza lakini kama asipoweza atamsaidia kivingine hapa sikumbuki alisema hearing aids au sijui nini sikumbuki kwa kweli
Kiukweli sijui ni nini nikajikuta namshawishi yule rafiki ampe nafasi kwani hata mimi nilifundishwa na mwalimu kipofu Advance level na ni mwalinu pekee aliyekuwa anasikilizwa na wanafunzi akaeleweka, ni mwalimu bora kabisa.
Rafiki yule alikuwa busy busy nami busy sana basi hatukuongelea ishu ya huyu mpaka sasa.
Mda huu ninaona hapa amejiua.
Aiseeee nimesikitika sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna nilipomsimanga mtu.Kwa hiyo mtu humjui ukaona best thing ni kumsimanga mdogo wa marehemu wakati huo huo na wewe uliyafanya hayo,
Ungepita kimya au ukaandika RIP ungepungukiwa na nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliwasilianaga nae sana pm.pia aliniambia dada manengelo anamsaidia sana.tukaja poteana.nadhani nitaiamini hii taarifa kama itathibitishwa na @manengelo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna msaada wa haraka tunahitaji watanzania Kama msaada wa akili....wengi sana wanakufa na stress
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ulichoshindwa kuelewa ni nini hapo. Nimehusianisha alivyofanya mdogo wa marehemu na nilichofanya mimi.Uliandika hivi:
Mkuu eti inawezekana mdogo wa marehemu atumie simu ya aliyekufa kwa muda wote huo, bila hata kubadili sim card. Sasa ana lengo gani nayo. Hatujui. Mimi nilipewa simu ya babu yangu nikae nayo alipokufa baada ya miezi miwili nikaizima.
Huyo mama isijekuwa ni huyo Manengelow labda alikuja kumbadilikia baadae.Sasa huyo mama kwa mujibu wa marehemu alikua anamtukana sana akikosea
Kwani unahakika gani kama amejiua kisa maisha magumu? Vp kama alichoka kudhihakiwa kisa tatizo lake la kusikia?Mtu anamiliki infinix note 8 alafu anajiua maisha magumu? Mnautani nyie
[emoji16][emoji3] japo sio mazurisoma uzi vizuri, kwan wewe unamashaka na kujidedisha kwake
Huyo mama isijekuwa ni huyo Manengelow labda alikuja kumbadilikia baadae.
Huyo mama isijekuwa ni huyo Manengelow labda alikuja kumbadilikia baadae.