Avriel
JF-Expert Member
- Jun 25, 2017
- 4,950
- 5,378
Naedelea kufuatilia Mtwara kwa wazazi wake nipate taarifa kili nitawajuzaUmasikini kitu kibaya sana, kwangu huyu ndio anakua adui namba moja, namba mbili na namba tatu. 1.6M imehangaisha mtu namna hii?
Sitaki nipate pesa nyingi na mali nikufuru lakini niwe na uwezo wa kukidhi mahitaji yangu na kusaidia wahitaji, ntakua nimeishi maisha ya amani na kufanikisha kitu kikubwa sana maishani mwangu.
Avriel usife moyo, ulifanya ulichoweza, nafasi bado zipo. Tuombe uzima. Barikiwa sana
Lakini ile 1.6 ilishapatikana na vyeti alivichukua tangu mwaka Jana, issue ikawa kumtafutia uwezekano Wa ajira maalumu pia support kwa mambo mengine.
Kwa taarifa wakati nikiwasiliana nae kabla hajapotea hewani kwa kufungiwa simu ni alikuwa akiishi kwa mama mmoja ambae ni member humu Jf so I wish huyo mama aje hapa athibitishe jambo hili wakati nasubiri uthibitisho kutoka MTWARA pia.
Tafadhali mdau Wa Jf uliekuwa unaishi na huyu ndugu njoo utupe uthibitisho .