TANZIA Mwana JamiiForums Miguu ya Kuku/ Mpauko afariki dunia

TANZIA Mwana JamiiForums Miguu ya Kuku/ Mpauko afariki dunia

Kumbe baada ya miezi miwili ukaizima na huyo mdogo wake kaiacha kwa mwezi mmoja sasa landa ikifika wa pili ataizima kama wewe ulivyoizima ya babu yako,
Mnaacha kuongelea mambo ya maana mnaongelea habari za kuzima simu mpaka mnajiumbua wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe hapa kuna la maana umeongea?
Mtu simjui naambiwa kajiua unataka niongee nini uone ni cha maana. Niseme achievements zake au kipi hasa ninachojua. Njoo mwenyewe uongee hiyo maana.
 
Hii itukumbushe kuwa na ubinadamu pale mtu analeta shida zake na sio kumfanyia dhihaka. Kuna watu wengi wanapitia changamoto mbalimbali na labda JF ndio sehemu salama kwao kuongea. Mungu amrehemu na ampe pumziko la milele mwagito
 
Unakuta kijana ana msongo wa mawazo..anahisi anapuuzwa..hasikilizwi tena,mambo hayaendi,mwisho wa siku ndio maamuzi kama haya..anyway mwenyezi Mungu amuweke panapostahili..
very true. Mtu hata awe na matatizo ya aina gani, endapo kuna watu kadhaa watamjali, kumpenda na kumsikiliza inatosha kabisa kumfanya mtu huyo aepukane na mawazo ya kujiua maana kila akiwaza hivyo atakumbuka wale wachache wanaomjali. RIP mpauko!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maswali mengine unaweza kujiuliza kumbe ni ya kipuuzi tu,mtu akifariki haimaanishi na namba zake za simu muda huo huo zifungwe,wengine wanaziacha kwa taarifa zaidi sababu marehemu alizitumia hizo namba kwenye mambo mengi hata ya kifedha nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maana niliweka statement ya "..alikuwa na lengo gani. Hatujui..."
Mimi nimesema sijui alikuwa na lengo gani kukaa na simu kwa mwezi. Wewe umehisi kwa sababu za kifedha, etc.
Sote hakuna mwenye jibu, mimi nimesema sijui wewe umetoa assumption ya kujua.
 

Daah.....inasikitisha sana. Leo ndo nilikuwa napitia uzi wake unaoelezea changamoto zake nyingi alizopitia tangu kuzaliwa hadi kuhitimu mafunzo ya ualim. Inahudhunisha sana aisee
 
Hii taarifa ya ghafla man, tumepatwa na msiba usiulize kafa nani....

Kama noma na iwe noma kaka man, fanyeni fasta tuibuke maskani...

Tukae tujadili makamanda, mwenzetu tumsitiri inahitajika sanda....

Sijui anahisi joto baridi au nini, ila tayari wamemtoa nguo za mwilini...

Hatushindwi wanangu hata kama hatuna fedha, hatuwezi shindwa hata kununua jeneza...


Hili letu sote limetukuta wana, undugu ni kufa na kuzikana....
 
Back
Top Bottom