T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Wewe hapa kuna la maana umeongea?Kumbe baada ya miezi miwili ukaizima na huyo mdogo wake kaiacha kwa mwezi mmoja sasa landa ikifika wa pili ataizima kama wewe ulivyoizima ya babu yako,
Mnaacha kuongelea mambo ya maana mnaongelea habari za kuzima simu mpaka mnajiumbua wenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu simjui naambiwa kajiua unataka niongee nini uone ni cha maana. Niseme achievements zake au kipi hasa ninachojua. Njoo mwenyewe uongee hiyo maana.