Nimeumia Sana.
Nimekumbuka alishawahi nipm sikujua Kama ni mpauko..kumbe alikuwa akitumia jina la miguu ya kuku.
Nilimjibu baada ya mwezi kupita lakini hakunijibu Tena.
Na Mimi akili ya kufwatilia japo posts zake Sikuwa nayo..laiti ningejua Kama miguu ya kuku ndiye huyo mpauko basi ningefanya bidii zaidi kumtafuta japo kuongea naye.
Mungu nirehemu
Sent using Jamii Forums mobile app
Msimtukane kwa kweli maana binadamu tupo tofauti na kila mtu huamin kile atakachotaka amini
Usichukulie siasa too personal, unaowapigania huko probably muda huu wamekaa wanapiga bia/mvinyo na mahasimu wao.Pm zko ndo huwa sijibu..kun kipindi uliniuliza mishe fulan nikajipinda kuandika wee hukujibu....nikahesabia
2.unapendaga sana kuniattack jukwaa za siasa.. Uliwahi niumiza sana sana ww...nikasem nikianza gombana na mwanamke mwenzangu itakuwa sio poa...sijawah kujibu qoute yako ndo nimejibu leo!
Alisaidiwa sana, ni roho ya mauti ilimsumbua kitamboToo bad nyuzi zake zingine sikuzisoma
Ila laiti ningezisoma.ningemsaidia kitu
Nina experience ya kutosha kwa aliyopitia
Sent using Jamii Forums mobile app
Usichukulie siasa too personal, unaowapigania huko probably muda huu wamekaa wanapiga bia/mvinyo na mahasimu wao.
Siasa is just a game!
Sasa mkuu afande aanze kuingia Mitandaoni Kutafta watu wanaoandika kujinyonga?Hizi nyuzi zake zilikuwa na viashiria vya kujinyonga kwanini Afande yule wa Tabora hajamkamata? unique vee,
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa Kama ningefanikiwa kukutana nae face to face asingefikia.uamuzi huo
Better umueleze pia anaweza gain kitu.
Siasa si ugomvi japo watu wengine huhisi kutofautiana kisiasa ni tatizo.
Wanadamu tunatofautiana mengi lakini haituondolei utu wetu Wa ndani kwa yoyote.
Utakapomkuta Magufuli na Mbowe wanagonga mvinyo pamoja wakati wewe ulikutana na mwanaccm ukaacha mpa msaada kwakuwa wewe mwanachadema sijui utajisikiaje hapo!
Tuna safari bado kuelimishana juu ya itikadi hizi zisizo za kudumu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya ule Uzi wake wa ada nikawa simuoni.
Kumbe alikuwa amebadili username.
Dah[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Amechukua maamuzi magumu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha.
Umeongea ukweli mtupuKuna kale katabia mfano unaenda kwenye msiba unakuta mtu analia huku anahadithia "marehemu alikuja kwangu kunianzima nguo nikamwambia njoo kesho leo amefariki Siamini"
Unabaki kujiuliza huyu ameguswa kweli na msiba au ndio nionekane nilikuwa kwenye harakati za kutoa msaada.
Ata ww acha unafikiThe guy was so charming
Japo hatukuwahi kuonana lakini alikua mtu wa karibu sana kwangu
Siamini [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Ndugu huna cha kujilaumu! Tena Ahsante kwa kuwa na Utu wa kumsaidia mtu kwa kuwa ana shida, bila ya kujuana naye kwa undani. Binafsi huyu marehemu alinishirikisha baadhi ya masuala na nilisaidia nilivyoona itamsaidia. Kati ya ujumbe wa mwisho nafikiri ni Desemba, aliniarifu wamempatia vyeti vyake na ameahidiwa uwezekano wa kupata kazi kama si Januari ni Februari.
Kinachoniacha hoi ni leo hii kujua kuwa sikuwa peke yangu niliyemsaidia, na ambacho sielewi zaidi ni kwa vipi mtu anayepewa aina mbalimbali ya misaada iwe ni mawazo, fedha, connections, n.k. ,tena na watu baki bado anakuwa na hali ya kukata tamaa mpaka kujitoa uhai wake?
Hatuwezi kupata majibu, ila bado inanishangaza.
Sent using Jamii Forums mobile app