TANZIA Mwana JamiiForums Miguu ya Kuku/ Mpauko afariki dunia

TANZIA Mwana JamiiForums Miguu ya Kuku/ Mpauko afariki dunia

Mkuu eti inawezekana mdogo wa marehemu atumie simu ya aliyekufa kwa muda wote huo, bila hata kubadili sim card. Sasa ana lengo gani nayo. Hatujui.
Mimi nilipewa simu ya babu yangu nikae nayo alipokufa baada ya miezi miwili nikaizima.
Mi natumia namba ya marehemu dada.angu since 2007

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenye taarifa please confirm kama ndie alie wahi kuja na huu uzi


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenye taarifa please confirm kama ndie alie wahi kuja na huu uzi


Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiye huyo huyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila mpaka baharia anafikia hatua ya kujipiga kitanzi...yani inaonekana wazi maji yalimfika shingoni...halafu akakosa mtu wa kumpa ushauri mzuri...dah inaumiza sana

Nimepitia nyuzi kadhaa za mwana...kumbe ameanza kulalamika siku nyingi juu ya changamoto anazopitia watu wakawa wanamchukulia poa...

Nimeamini JF watu wapo really sana kama mtu akipost anachangamoto basi inawezekana 90% ya kile anachokizungumzia kweli kinagusa maisha yake..

Angalizo wana JF tuwe tunatoa ushauri kadri wa uwezo wetu tuache mizaha mingi..sometimes uzi wa mtu unaweza ukawa about life and death...so let things sometimes
 
Back
Top Bottom