TANZIA Mwana JamiiForums Miguu ya Kuku/ Mpauko afariki dunia

Dah..
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni mhanga mkubwa wa hili... Nisingekuwa imara ningepata tabu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mdada aliwahi kuandika humu kuwa kipindi chake cha ujauzito na mwanaume kamkimbia kaingia jf full stress kakuta thread ya single mom watu wanatiririka akataka ajimalize.
Imagine single mama yupo mtaani huko ramani hazisomi mume kamkimbia hajui mtoto atamlisha nini anaingia humu ku refresh anakutana na nyuzi za kumkashifu na kumkebehi. JF inaelekea kua mtandao wa ovyo sana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni mhanga mkubwa wa hili... Nisingekuwa imara ningepata tabu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Mshana Kuna watu wanapitia changamoto imagine wakati sisi tukiwaza kuwa na Nyumba au gari zuri Kuna wenzetu mtu amesoma na vyeti anavyo ila hana hata uhakika wa kula...


Juzi Kuna kijana humu kaja anahitaji kazi ila ujira wake iwe kura na Ni mwanafunzi wa udsm mwaka wa kwanza .... Imagine ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka kichuguu ubarikiwe mno.
Ninaweza kusema Robin alikuwa kwenye mikono ya watu salama wa jf wengi tu lakini roho ya mauti ilimuandama.
Apumzike salama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sana waache kutoa lawama.
Kuna watu mpaka muda huu hawawezi kushika simu zao kwa presha ya hili jambo sababau walikuwa ni msaada kwa kijana sasa taarifa kama hizi zinashtua sana.
Alikuwa ndani ya mikono salama humu ndani, pengine kuna mengine ya ndani hatuyajuo yaliyokuwa yanamtatiza.
Mmh hebu mwacheni mdogo wangu, marehemu amesaidiwa sana na wadau wa hapa na walionyesha kumjali lakini bado amejiua, huyu angetoa msaada gani wa ajabu ambao ungefuta hizo fikra za kujiua

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulimtafuta?
Sent using Jamii Forums mobile app
 


Mhanha namba n 1 ni naja naja! Sjui nisemeje...ilibidi amfate max amuombe afute nyuzi zake
 
Nimepitia nyuzi kadhaa za mwana...kumbe ameanza kulalamika siku nyingi juu ya changamoto
Angalizo wana JF tuwe tunatoa ushauri kadri wa uwezo wetu tuache mizaha mingi..sometimes uzi wa mtu unaweza ukawa about life and death...so let things sometimes
 
Nimesoma hii habari...a lot of things came to my mind. Anyway, kuna wakati mtu anaweza kupitia changamoto kwa wengine ikaonekana kawaida au siyo changamoto kabisa. Anayejua ni mhusika. Kijana ameenda ingawa si kwa njia sahihi kwetu lakini ameenda.
Basi Mimi niliwawakilisha msibani . mpaka kijijini kwao Mufindi alizikwa 26.01.2020. Sikujua kama alikuwa member.View attachment 1369605View attachment 1369606

Sent using Jamii Forums mobile app

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Ukitoka wewe mie nafuata kaka!..bt sina hata shida aisee! Alafu hao hao wanaokuomb msaada ndo wanaongoza kukubully...!...na mods hawana hata shida! Wamestarehe balaa!..kwa wanawake mm naongoza!
Kisaikolojia Kuna Kinaitwa Resilience Capability yaani uwezo wa kuhimili changamoto ... Kuna mtu akituanwa anapigana wakati mwingine akitukanwa ndio kwanza anainuka zake anaenda zake bila ugomvi ... Mwingine akaipitia misuko suko kiuchumi anaona sawa kuwa maisha ni kupanda na kushuka ipo siku itakuwa poa ila mwingine wa kesi hiyo hiyo anaweza kuwa mlevi...


Hivyo Basi binadamu hatuko sawa kwenye kuhimili changamoto , Ni kujua namna ya kuwapa "misaada Jamii" wenzetu walio katika changamoto waweze kuhimili changamoto huku tatizo husika likiwa linashughulikiwa .... Hizi Bullies hazipo tu mitandaoni hata watoto wetu Shuleni huko wanakumbana nazo saaaaaaaaaaana Kama wazazi tusisahau pia huko ... Tunapofanya kuwakagua watoto tusioshie tu kwenye performance fanya uchunguzi wa Kama Yuko Bullied Shuleni ... Shulen Kuna watoto wa kila dizaini Kama wati wa kila dizaini walioko mitandaoni....





Sent using Jamii Forums mobile app
 
@Mpauko ameondoka.. Hatuishi milele! Lakini je pale alipodhani ni kimbilio sahihi hakujutia kwa aliyokutana nayo? Je wewe u mmoja wao waliomkebehi na kumkejeli au ni mmojawapo uliyempa faraja, tumaini na kumtia moyo?
Hapa kweli kuna majuto. Hizi comments wakati akihitaji msaada zinasikitisha. RIP!!!

 
Halafu mtu kama huyo akutane na bullying ya kufa mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…