Mi natumia namba ya marehemu dada.angu since 2007Mkuu eti inawezekana mdogo wa marehemu atumie simu ya aliyekufa kwa muda wote huo, bila hata kubadili sim card. Sasa ana lengo gani nayo. Hatujui.
Mimi nilipewa simu ya babu yangu nikae nayo alipokufa baada ya miezi miwili nikaizima.
halafu akipigiwa anapokea kwa hasira.Mkuu eti inawezekana mdogo wa marehemu atumie simu ya aliyekufa kwa muda wote huo, bila hata kubadili sim card. Sasa ana lengo gani nayo. Hatujui.
Mimi nilipewa simu ya babu yangu nikae nayo alipokufa baada ya miezi miwili nikaizima.
Pole kwa kumpoteza babu.Mkuu eti inawezekana mdogo wa marehemu atumie simu ya aliyekufa kwa muda wote huo, bila hata kubadili sim card. Sasa ana lengo gani nayo. Hatujui.
Mimi nilipewa simu ya babu yangu nikae nayo alipokufa baada ya miezi miwili nikaizima.
Ndiye huyo huyoMwenye taarifa please confirm kama ndie alie wahi kuja na huu uzi
Kwa wenye huruma tu! Nahitaji ajira niweze kuishi
Habarini wakuu! Mimi ni kijana wa miaka 24 ,Naishi Mtwara kwa sasa.Ni kiziwi nilipata hili tatizo nikiwa darasa la pili mwaka 2003. Nasikia na kuzungumza na mtu vizuri tukiwa jirani tukitazamana(facial language na lips movement) Nimehitimu mafunzo ya ualimu mwaka 2018 (GPA 3.7) pia nina...www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni babu yangu. Baba yupo uko kanisusa na mimi nina mpango nimfungie vifoo tuone kama nitashindwa kuishi.Pole kwa kumpoteza baba.