TANZIA Mwana JamiiForums Miguu ya Kuku/ Mpauko afariki dunia

Hivi rafiki ulikimbilia wapi?/hebu rudi haya maisha magumu tusaidiane wote, asikimbie MTU! Uko ulimwengu huu huu au Shemeji alichukua simu??
Ha haa acha tu, tena tulipofikia na hii corona nabadili ficho mpaka tiba ipatikane...

Ila nakukumbuka kweli best, na vile hupatikana hewani basi tafrani tupu, usiwe hivo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenena vyema ila huu ni mtihani kwa wengi tunaambiwa ukitoa na mkono wa kulia hata wa kushoto usijue,watu wanachoshindwa kujua kupewa ni udhalili mwenzako anaona anavyodhalilika kwa kupewa tu weye unaona havitoshi kutwa kujinadi sasa umefanya nini si bora ukakae viti virefu maana humuumizi mtu
 
Topic zake zilionyesha anahitaji WOKOVU WA YESU, maana alitaka kujiua siku nyingi.
Pia ni MHEHE WA IRINGA, hawa watu wa Iringa wana "following spirit" toka kwa babu yao mkwawaya kujiua, anapaswa KUOKOA
 
Topic zake zilionyesha anahitaji WOKOVU WA YESU, maana alitaka kujiua siku nyingi.
Pia ni MHEHE WA IRINGA, hawa watu wa Iringa wana "following spirit" toka kwa babu yao mkwawaya kujiua, anapaswa KUOKOA
Acha tu kuna Member mwingine alijiua baada ya kumfumania mkewe akiliwa KIBOGA.
 
Baadhi ya thread zake zimenigusa sana, na baadhi ya reply za watu waliotegemewa kumpa moyo zilikatisha tamaa..
Innalillah wa innah ilahyi rajiun
 
Nimesoma thread zake zinahuzunisha sana hasa mwanaJF aliyemfanyia usanii wa kutaka kumsaidia kumbe anamdhalilisha tu.
 
so sad sad indeed... thread zake zina sikitisha sana

usiombe uwe na depression in tz utakoma,, Tanzania ina watu wachache sana wanaotambua kwamba stress ni ugonjwa mbaya sana kuliko hata cancer....

wengi bado hawatambui kuwa stress ni kitu cha hatari sana.. inshort ukiwa na stress in tz wewe pambana na hali yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…