reyzzap
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 6,813
- 21,807
Tunaenda mbali sana wajumbe.....
Uzi umegeuka wa Mashambulizi.....
Nampongeza Sana Elli,
Hakuonesha Hasira...
Hakuonesha temper....
Hakuonesha Panic....
Aliona haina haja ya kulumbana.....
Akaomba msamaha akakubali yaishe....
Yupo huko katulia zake....
Kuomba msamaha au kukubali yaishe haimaanishi.... Kweli umekosea au umeshisndwa....
Ni uungwana tu pale unapoona haina haja.......
Na niwachache wanaoweza hilo......
Kuna watu wanalumbana hapa lkn mpk hapo alipo ana hasira, panic na temper..... hata Keypad haishikiki......hapo
Sasa unagombana na ma ID Si ndio kujiongezea Ma stress ya nje nje.......
Mwishowe na wewe Unaletewa habari za TANZIA hapa....!
Mda mwingne tunasema R.I.P kwa mazoea, kinafki au tamaduni tu sbb ni marehemu....
Ila kuna marehemu wengne walikua wanazingua.....
Stress nying ni za kujitakia.......
Na Huwezi ukagombana na mtu, mkawekeana vinyongo/visasi ukawa na amani/uhuru 100%, km unahisi hivyo unajidanganya..........
Sent using Jamii Forums mobile app