Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Embu nitajie mtu hata mmoja aliyewahi kusaidiwa na Manengelo.
Ila ww kama unaoenda amani ya nafsi yako basi nakuomba uniambie wangap walichanga then nikulipe leo hii!
Kumbe kuna mambo mengi yanakusumbia moyoni mwako...! Eti kila mishe nimefanya...! Sasa hata km nadanganya unahis nafaidika na nn?...unadhan mie ndo wakuletewa hela za matumizi! Bora ujoin tu ! Acha hasira zisizo na maana!... Ila nakupa pole!...