Sosthenes Maendeleo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 2,724
- 1,693
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hayo mambo yenu ya Kusema msaada sijui mbinguni sijui Mungu atalipa sijui pepo.
Mnawabagua wasiokuwa na dini, dini za wengine haziamini hizo, dini zingine wanaabudu mizimu.
Wengine hata hawajielewi kama kuna Mungu au life after death.
Amini naawaambia kutoa ni moyo wa mtu si suala la dini, kuna watu hawana hata dini ne pengine hoja za uwepo wa Mungu au la wao ndo vinara huonekana kama masgetani lakini husaidia sana wahitaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatukutambulishana! Nimekaa kimya!
R.I.P. Ila maisha lazima upambane, hakuna lelemama.TANZIA:
MWANA JF MIGUU YA KUKU/ MPAUKO HATUNAE DUNIANI
Kwa mujibu wa rafiki yake wa mitandaoni ni kuwa Mpauko / MIGUU YA KUKU alifariki tarehe 23 / 01/2020.
Chanzo cha kifo chake ni kujinyonga lakini hakuna taarifa ya sababu ya kujinyonga.
Rafiki yake anasema alipotezana nae mtandaoni toka january hiyo na alikuwa akituma txt za kawaida kwenye namba zake tatu hazifanikiwi kumfikia.
Akajaribu tena jana jumapili tarehe 23 asubuhi txt zikapokelewa na kujibiwa kwa ukali kidogo na simu kufungwa. Rafiki yake alituma txt zaidi zilizopokelewa jioni na mtu aliyejitambulisha kuwa ni mdogo wake. Mdogo wake huyo ndiye alietoa taarifa ya kifo hicho.
Marehemu alizikwa kwao Iringa
Amewahi andika:
1) Daah! Haya maisha bwana, mi yanaelekea kunishinda! Hivi ni sumu gani inaua haraka bila mateso?
2) Maisha yamekuwa hayana jema kwangu nashangaa kwanini sifi
3) Kwa wenye huruma tu! Nahitaji ajira niweze kuishi
4) Mengine haya huumiza, Tusaidiane...
5) Mrejesho: Naomba msaada wa ada
6) Nayaandika haya huku moyo wangu unavuja damu. Uchungu mwingi sana
Ofcourse mm sikia naamini km kweli dogo kafa...nikajikuta nasoma txt zake ..nadhan ni moja ya kuomboleza...maana amafanya tukio diku kadhaa kbs kuwasiliana na watu humu...! Sijawah ht andika sehem mpaukp nimempa hata ten..tena kwenye uzi wa kuchangiwq ile form mm sijawah ht comment maana nilishamalizana nae...! Iweje leo iwe hv eti oh tunajitangaza? Marehem mwenyew kumbe alikua annitaja huko..huyu alubati mm hata sijawah wasiliana naye ht siku moja..lakini ameeema yy mwenyew imekuwa kesi...mwe ngoja tukinge maji ya mvua sie!
Yaishe ...sasa sijui yule alieweka hapa hela ilivyokwama itakuwaje ...wala hakuna anayetak aonekane zaidi y amtu...ila tunajifuza kutokan na mambo! Niliwahi ambiwa kuna jamaa mmoja humi yy kukuunganisha na kazi ni easy ..ila ndo anachukiwa balaa...! Yaishe tuishi kwa amani
Tunasaidia ili kudumisha Humanity! Wasioamini uwepo wa Mungu wanajua kabisa duniani tumeletwa kwa kusudi fulani, Ni lazima kumsaidia mwanadamu mwenzio pindi aombapo msaada!
Ndugu Utendaji kazi wa Mungu ni waajabu sana, hawaaamini uwepo Mungu ila wanajua kuna uwepo wa Power of Nature and Subconscious mind!
Mungu ndio ka-Initiate vitu hvyo viwili ambavyo vija play role kubwa katika maisha ya mwanadamu. Usidhani kwamba ukitenda kitu baraka inatoka kwa Mungu moja kwa moja kuja maishani mwako..ila Kuna principles kaziweka kwenye Nature ndio hufanya Outputs za matendo yetu hapa duniani..
Hatujawabagua! Je Duniani wasio na dini ni asilimia ngap? Watanzania walio jf wasio na dini ni asilimia ngapi? Obviously utakuta ni kundi la watu wachache sana..Kuna wanao amini Mungu ila hawana Dini!
Wengi wanapewa Always! Lazima tumtaje Mungu kwakua Wengi humu wanaamini katika Mungu
Silka yangu!
●Simandi vitu vidogo, Hua sichukii mm
●Hua sichukii mtu hata iweje.
●Mambo yangu nafanya kimya kimya..
Nashangaa utakaposema kua tuna sumu nae (Kama na mm nikiwemo) Nitashangaa sana..maana sijawahi mchukia hata one day.
post zangu zilikua zinakumbusha yoyote yule mwenye roho ya kutoa!
Anyway nitakavyo sound kwenye vichwa vyenu ndivo mnichukulie hvo! (Kama nina chuki au lah)
What I know and everyone who ever met me knows that I'm a good Lad..
with Cherishing and Humble Attitude
Sasa muacheni na system yake ni mkubwa zaidi yako, kapitia mengi.
Anajua anachofanya na yeye ana hulka yake.
Hivo hivo anavyojitangaza ndo wahitaji wanapata msaada.
Kama tatizo mnaona anajionyesha anajidai a nakosa baraka ni nyie sie yeye,na nyie saidieni kimya kimya pia naye hayo kuwa na tatizo na nyie.
Tatizo ni kutaka kumpangia au kufanya awe kama wengine wanaokusaidia wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waungwana hebu tumlaani shetani kisha tuachane na haya malumbano, maadam wahusika wamekubali yaishe, tumekumbushana kwa kadri ya maono yetu basi kifuatacho ni kuendeleza gurudumu la maisha, tukumbuke dunia inazunguka leo kwangu kesho kwa yule ndio maana tumeumbiwa tusaidiane mengine ni kasoro ndogo ndogo za kibinaadam,Siishi kwa msaada! I'm Survivor
Simpangii, Ila twawekana sawa. She know hatujawahi kwazana even Once..Najua Anavyosaidia member wenzake wa kike..
Nimchukie kwa nn? Wakati post zangu nyingi hua naandika kukumbusha watu jukumu la kusaidia wengine wawapo kwenye matatizo na kuishi maisha ya Wema!
Mimi simpangii, Ila afanye kila anachoona ni sahihi. Kwanini nichukie Hela zake? Na anazitumia kusaidia watu
Nakumbusha tu..Kufanya vitu kwa Usiri
Naona unawapangia watu namna ya kuishi. Kwahiyo ulitaka wasiseme jinsi walivyo saidia, Hata bilgate tunajua anatoa kiasi gani kwa ajiri ya msaada kwenye Foundation yake.Punguza kuwa TrollTunasaidia ili kudumisha Humanity! Wasioamini uwepo wa Mungu wanajua kabisa duniani tumeletwa kwa kusudi fulani, Ni lazima kumsaidia mwanadamu mwenzio pindi aombapo msaada!
Ndugu Utendaji kazi wa Mungu ni waajabu sana, hawaaamini uwepo Mungu ila wanajua kuna uwepo wa Power of Nature and Subconscious mind!
Mungu ndio ka-Initiate vitu hvyo viwili ambavyo vija play role kubwa katika maisha ya mwanadamu. Usidhani kwamba ukitenda kitu baraka inatoka kwa Mungu moja kwa moja kuja maishani mwako..ila Kuna principles kaziweka kwenye Nature ndio hufanya Outputs za matendo yetu hapa duniani..
Ameshasema amekuelewa essay za nini tena?Una moyo wa kutoa..
ila hujajua kanuni za utoaji, ukijua pepo itakua yako!
Inawezekana wafanya hivo ili ku-motivate wengine wafanye mema, ila kwa Mungu unakua hujafanya kitu. Kwake ataona ni kama show off asizozipenda Alikiba.
Endelea kutoa msaada, ila zima kamera pindi utoapo..I mean say nothing about your Good side.
That's what I always do! And so Do Others
Na hayo mambo yenu ya Kusema msaada sijui mbinguni sijui Mungu atalipa sijui pepo.
Mnawabagua wasiokuwa na dini, dini za wengine haziamini hizo, dini zingine wanaabudu mizimu.
Wengine hata hawajielewi kama kuna Mungu au life after death.
Amini naawaambia kutoa ni moyo wa mtu si suala la dini, kuna watu hawana hata dini ne pengine hoja za uwepo wa Mungu au la wao ndo vinara huonekana kama masgetani lakini husaidia sana wahitaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona unawapangia watu namna ya kuishi. Kwahiyo ulitaka wasiseme jinsi walivyo saidia, Hata bilgate tunajua anatoa kiasi gani kwa ajiri ya msaada kwenye Foundation yake.Punguza kuwa Troll
Embu nitajie mtu hata mmoja aliyewahi kusaidiwa na Manengelo.Humu jf wengi wetu hatuchangi hatusaidii jambo mpaka mtu aone fulani au asikie fulani kathibitisha.
Nina ushuhuda katika hilo.
Sasa inapotokea tatizo fulani akaweka nguvu na msisitizo wengi watasaidia au kuchanga.
Manengelo ni mmojawapo amini nakuambia hata hao ambao hawajaja hapa kusema walivyosaidia nauhakika baadhi yao walisaidia Robin au yoyote ni kwa sababu wameona au wamepata uthibitisho kwa any reputable I'd.
So manengelo unacho fanya ni sahihi usiache inawapa nguvu watu wengi wasaidie.
Nimesoma pia alindika kuna mkaka yupo China aliahidi kusaidia hela za Naja naja only baada ya kuthibitishiwa na manengelo.
Tukubali tukatae kuna I'd zinaushawishi na kuna I'd ambazo hata nje ya jf zinafahamika sana.
Hayo mambo ya mkono wa kushoto wa kulia ya kiimani tu muhimu mtu asaidike.
Sasa yule aliyekuwa ana mobilise watu wa change wakaingia mitini leo hii anaonekana mbaya?
Muwe na kiasi jamani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo Elli hana shida, ila kuambatana na Manengelo ndo kuna mchafua , hanaga maneno mengi huyo .Mkuu mm nilikuelewa..ila point yangu kuu nilitaka kukumbusha tu kua Ukitoa kitu piga kimya..
Onapotoa kitu ukakaa kimya unakua umejijengea hazina kwa Mungu, ila ukiwatangazia watu humu unakua umejichumia hazina ya kusifiwa tu humu kwamba fulani ni mtoaji ila kwa Mungu unakua umepata Sifuri!
Usiongee wema wako ili upendwe, Tenda mema kwa watu wanajua wewe sio mwema! Watakupenda!