Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Sawa kabisa! Hakuna shida! Barikiwa!Sawa we endelea tu na maisha yako bro peace.
Wewe huna maneno mengi ila huyo dada unayeambatana naye atakuchafulia image yako kuwa naye makini sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa kabisa! Hakuna shida! Barikiwa!Sawa we endelea tu na maisha yako bro peace.
Wewe huna maneno mengi ila huyo dada unayeambatana naye atakuchafulia image yako kuwa naye makini sana.
Anasema hajawahi kumsaidia mtu kisha akamtangaza.Nadhani ni ile hali yake!...ila ametukosea sana jaman...Robin wewe hadi wanangu walikuchangia[emoji24][emoji24][emoji24]ukaandika majinayao kwa form yako...! Mm toka jana siwez fanya kitu! Najitahid nilewe labda nitalala!...arghh! Rip
Hapa piaMarehemu mm nilikua nachat naye sana kwanza ni mlalamishi kwa kila kitu..then alikua na hasira! Apumzike tu sasa
Una moyo wa kutoa..Sawa mkuu....! Nimekuelewa!...
Kama nakuelewa wenye roho mbaya plus ukauzu huwa wanatoboa.Tena ujinga wa mwisho ambao hata mm ndio unanigharimu maisha yangu kwa sasa
Naishi maisha kama digi digi kwa ajili ya upole ,busara ,huruma yangu
Ndio.mana wenye roho mbaya wanafanikiwa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
I second you.Una moyo wa kutoa..
ila hujajua kanuni za utoaji, ukijua pepo itakua yako!
Inawezekana wafanya hivo ili ku-motivate wengine wafanye mema, ila kwa Mungu unakua hujafanya kitu. Kwake ataona ni kama show off asizozipenda Alikiba.
Endelea kutoa msaada, ila zima kamera pindi utoapo..I mean say nothing about your Good side.
That's what I always do! And so Do Others
Kuna points nimejibebea hapo ,na nimejifunza kituUna moyo wa kutoa..
ila hujajua kanuni za utoaji, ukijua pepo itakua yako!
Inawezekana wafanya hivo ili ku-motivate wengine wafanye mema, ila kwa Mungu unakua hujafanya kitu. Kwake ataona ni kama show off asizozipenda Alikiba.
Endelea kutoa msaada, ila zima kamera pindi utoapo..I mean say nothing about your Good side.
That's what I always do! And so Do Others
Shida haipo kwa kijana.. ipo kwenu.
ukimsaidia mtu lazima useme humu?
Tenda wema nenda zako nyie mnaelewa vipi?
Wapo watu wanatoa misaada mikubwa. Huwezi kuta anakaa anasema kua nimemsaidia kitu fulani..Biblia inasema ukitoa sadaka mkono wa kushoto usijue! Nyie mwafanya hivo?
Sio kila mtu lazima ajue kua mnatoa misaada, Toeni yabaki ndani ya mioyo yenu!
Ukisoma huu uzi mwanzo mwisho unaona kila mtu anasema jinsi anavyosaidia/alivyosaidia..msaada hautangazwi. Kuna mtu namjua kamsaidia sana huyo Robin pesa mingi sana ila hata kuja kwenye huu uzi hajaja. Hua anasaidia wengi sana humu ila huwezi muona akiongea kitu kwasababu anajua Definition and how ya kutoa Sadaka/msaada
Hahahaah sijawahi tangaza popote pale, hata hapa sijatangaza ila illikua tu kuweka records vizuri. Ndio maana nikasema sitaonggea tena! Wewe si unakumbuka tulikutana Maili moja? Unakumbuka? Tuyaache nimeomba msamaha kwa Dogo.Mkuu mm nilikuelewa..ila point yangu kuu nilitaka kukumbusha tu kua Ukitoa kitu piga kimya..
Onapotoa kitu ukakaa kimya unakua umejijengea hazina kwa Mungu, ila ukiwatangazia watu humu unakua umejichumia hazina ya kusifiwa tu humu kwamba fulani ni mtoaji ila kwa Mungu unakua umepata Sifuri!
Usiongee wema wako ili upendwe, Tenda mema kwa watu wanajua wewe sio mwema! Watakupenda!
Ni kweli unachosema..Humu jf wengi wetu hatuchangi hatusaidii jambo mpaka mtu aone fulani au asikie fulani kathibitisha.
Nina ushuhuda katika hilo.
Sasa inapotokea tatizo fulani akaweka nguvu na msisitizo wengi watasaidia au kuchanga.
Manengelo ni mmojawapo amini nakuambia hata hao ambao hawajaja hapa kusema walivyosaidia nauhakika baadhi yao walisaidia Robin au yoyote ni kwa sababu wameona au wamepata uthibitisho kwa any reputable I'd.
So manengelo unacho fanya ni sahihi usiache inawapa nguvu watu wengi wasaidie.
Nimesoma pia alindika kuna mkaka yupo China aliahidi kusaidia hela za Naja naja only baada ya kuthibitishiwa na manengelo.
Tukubali tukatae kuna I'd zinaushawishi na kuna I'd ambazo hata nje ya jf zinafahamika sana.
Hayo mambo ya mkono wa kushoto wa kulia ya kiimani tu muhimu mtu asaidike.
Sasa yule aliyekuwa ana mobilise watu wa change wakaingia mitini leo hii anaonekana mbaya?
Muwe na kiasi jamani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa! Ungepost bila kuni-quote ningeelewa au pengine ni njaa zangu hizi. It's okay no worries. Siku njemaMkuu post zangu hazimlengi mtu..wala sijaona sehem ukisema kua ulimsaidia. Ila nimewakumbusha tu wote wale wenye moyo wa kutoa.. wajifunze kanuni za utoaji
Ni kweli unachosema..
lakini unajua wema hauigwi? Wema upo ndani ya moyo wa mtu! Mtu kama sio mwema hawezi fanya kitu kisa kaona fulani katenda wema! Na kama akifanya hivo kwa Mungu ni sifuri, tunatoa yote hayo sio ili kujipatia sifa au lolote bali kujichumia baraka kwa Mungu!
Toa pale pindi unapokua umeguswa sio kwasababu uneona watu wamethibitisha ana matatizo kweli, kama kweli una nia huna haja usubiri memba wathibitishe...mtafute muhisika mwenyewe!
Watu hufanya hivo ambao nawajua hutoa, wanatoa pindi wameguswa tu! Huyu mtu najua ni mtoaji sana ila kuna kipindi mlemavu anamfata kumuomba ila anamnyima na pesa anayo just sh500.
Ila anakuja kumpatia labda 50k mtu aliyekuja kuomba msaada humu!
So unaweza kuona kua Unatakiwa utoe pindi unapoguswa tu hata kama humjui mtu..ila sio utoe kisa memba fulani wamesema ana shida kweli....Kama wapo kundi moja wanatapeli? Washajua fulani anaaminika akisema kitu humu...
Endeleeni kusambaza wema na upendo
Hahahaah sijawahi tangaza popote pale, hata hapa sijatangaza ila illikua tu kuweka records vizuri. Ndio maana nikasema sitaonggea tena! Wewe si unakumbuka tulikutana Maili moja? Unakumbuka? Tuyaache nimeomba msamaha kwa Dogo.
Anasema hajawahi kumsaidia mtu kisha akamtangaza.
Oneni hapa sasa.
Sawa! Ungepost bila kuni-quote ningeelewa au pengine ni njaa zangu hizi. It's okay no worries. Siku njema
Mimi ni nani nibishe? Nauza gahawa tu Sister! Ila nimekuelewa!Kaa kimya..!nakuomba!
Embu Acheni kumsuta dada wa watu!!! Pengine ndo ilikuwa sehemu yake ya kuomboleza?
Ni kama vile ukiuguza mwanao akatoweka wakati wa kulia ukasema "tulimpeleka mpaka India?" hapo utakuwa umetangaza?
Hawa waliokuwa karibu na marehemu amini wamemuamia sana kuliko mimi na wewe tunakuja kuwasuta humu.
Muwe na kiasi jamani.
Khaaa
Je kuna kosa mtu ana shida wewe pekee huwezi msaidia ukawashirikisha au ukafanya harambee ili asaidike kuna shida?
That's very normal
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatukutambulishana! Nimekaa kimya!Sasa Elli unapomkumbusha mlikutana maili moja huoni kam unamtangaza hata hapa?