akatanyukuile
JF-Expert Member
- Sep 13, 2019
- 314
- 307
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dogo kuwa mkweli, ukisema ukiongea na hawa watu, mimi na wewe tuliwahi kuongea chochote? Tuliwahi kuwasiliana popote? Hizi screenshots unasema eti unazo, wapi umezitoa!?? Mimi nimeweka ushahidi wa mawasiliano yangu na Max je Uzi wako ulirudishwa baada ya wewe kuongea na Max au mimi? Kumbuka, Nina muda mrefu hapa na kama kuna MTU niliwahi kumtapeli hata senti ajitokeze hapa. Sijawahi kubadili hata ID since 2008, why nije nikutapeli wewe???? Binadamu ....Jamani huu ni uongo.
Hapa jamaa anajifanya huyo dada hajui chochote.
Kwa kifupi hizi screenshot alinitumia huyo huyo dada maana kuna kipindi nilikata tamaa kuelezea shida zangu humu wakanishawishi niongee na uongozi ndipo nikaongea na mhariri na Maxence Melo, na Melo niliongea Whastap moja kwa moja nikamueleza situation yangu .
Melo na Mhariri baada ya kujiridhisha walirudisha uzi wangu jukwaani ila nilijifikira mwisho wa siku nilipoona natukanwa na kudhihakiwa jukwaani nikamjulisha huyu dada kwamba nataka niongee na Melo afute nyuzi zangu maana nimechoka kutukanwa ,huyu dada akakataa kata kata ila sikumsikiliza nikaongea na Melo afute nyuzi zangu zote nazohitsji msaada maana niligundua hawa hawana nia nzuri na mimi maana hata nikiwapigia simu walichokuwa wanakiongea unaona kabisa sio watu wazuri ni matapeli mwisho wa siku wataniletea matatizo .
Ona unavyojichanganya sasa! Kwa namna hii ni ngumu sana kufanikiwa! Hivi mimi na wewe mnafiki ni nani??? Hata hivyo nashukuru kwa kuniita mnafiki, ni kawaida sikulaumu dogo.Mkuu acha kujishtukia, pia acha unafiki.
Sijamtaja huyo dada popote na wewe sijakutaja popote , sasa iweje unajishtukia?
Kaka kuwa na amani tu.
Kijana, nikushauri tu, maisha hayako hivyo. Hilo tuMkuu wapi nilipotaja jina la huyu dada?
Mbona unajishtukia mkuu?
Hivi unadhani humu JF ni wangapi waliojitokeza kusema watanisaidia matatizo yangu kulingana na uwezo wao Mungu aliowajalia, sasa iweje unajishtukia bila sababu ya msingi? Nini kilichojificha nyuma ya pazia?
Nimemshangaa sana sana! Sometimes ndio MTU unaamua ukae kimya tu usimsaidie MTU. Alikua anamsumbua kwenye simu huyo Dada hadi basi, msaada ukageuka kuwa Deni. Kweli mambo ya kusaidiana tuachane nayo tu maisha yaendeleee@Naja naja habari.
Kuna sehemu alitajwa manengelo wewe ukasema "humjui huyo dada" ukaulizwa yukoje? Ukajibu "si mtu mzuri" ukaulizwa tena na tena kama screenshots hapo zinavyoonyesha.
Then manengelo na Elli kuja kuelekea hali halisi ya situation yako wamekosea? Mpaka unamuita Elli mnafiki? Umekosea. View attachment 1371160View attachment 1371161View attachment 1371162View attachment 1371163
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa, ukiwa msamaria mwema unaishia kuchafuliwa tu majina. Huyu dogo alikua anamsumbua sana kwenye simu....Tena ujinga wa mwisho ambao hata mm ndio unanigharimu maisha yangu kwa sasa
Naishi maisha kama digi digi kwa ajili ya upole ,busara ,huruma yangu
Ndio.mana wenye roho mbaya wanafanikiwa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kijana, muogope Mungu wako!Mkuu.
Pitia kwa umakini thread za watu wanaoomba msaada humu JF lazima utaona huyu dada ajitokeze .
Pia jiulize kwa nini kila biashara itakayojadiliwa humu JF yeye ameshawahi kuifanya?
Muache amwage nyongo yake! Ni sahihi tu.
Jamani huu ni uongo.
Hapa jamaa anajifanya huyo dada hajui chochote.
Kwa kifupi hizi screenshot alinitumia huyo huyo dada maana kuna kipindi nilikata tamaa kuelezea shida zangu humu wakanishawishi niongee na uongozi ndipo nikaongea na mhariri na Maxence Melo, na Melo niliongea Whastap moja kwa moja nikamueleza situation yangu .
Melo na Mhariri baada ya kujiridhisha walirudisha uzi wangu jukwaani ila nilijifikira mwisho wa siku nilipoona natukanwa na kudhihakiwa jukwaani nikamjulisha huyu dada kwamba nataka niongee na Melo afute nyuzi zangu maana nimechoka kutukanwa ,huyu dada akakataa kata kata ila sikumsikiliza nikaongea na Melo afute nyuzi zangu zote nazohitsji msaada maana niligundua hawa hawana nia nzuri na mimi maana hata nikiwapigia simu walichokuwa wanakiongea unaona kabisa sio watu wazuri ni matapeli mwisho wa siku wataniletea matatizo .
Shida haipo kwa kijana.. ipo kwenu.Kweli kabisa, ukiwa msamaria mwema unaishia kuchafuliwa tu majina. Huyu dogo alikua anamsumbua sana kwenye simu....
Hahahahaa Rafiki umechanganya mada, hebu anzia juu kidogo kuna story nyingine ya tofauti. Rudia juu kidogo, ukikomenti kwa kutokujua flow nzima utakosea. Ni kitu tofautiShida haipo kwa kijana.. ipo kwenu.
ukimsaidia mtu lazima useme humu?
Tenda wema nenda zako nyie mnaelewa vipi?
Wapo watu wanatoa misaada mikubwa. Huwezi kuta anakaa anasema kua nimemsaidia kitu fulani..Biblia inasema ukitoa sadaka mkono wa kushoto usijue! Nyie mwafanya hivo?
Sio kila mtu lazima ajue kua mnatoa misaada, Toeni yabaki ndani ya mioyo yenu!
Ukisoma huu uzi mwanzo mwisho unaona kila mtu anasema jinsi anavyosaidia/alivyosaidia..msaada hautangazwi. Kuna mtu namjua kamsaidia sana huyo Robin pesa mingi sana ila hata kuja kwenye huu uzi hajaja. Hua anasaidia wengi sana humu ila huwezi muona akiongea kitu kwasababu anajua Definition and how ya kutoa Sadaka/msaada
Uhai mwingine umetutoka.. Ni wa mwana JF mwenzetu... Mpauko! Apumzike kwa amani... Nimepitia mada ya tangazo la kifo chake na mada zake nyingine nyingi... Nimeona sononi na majuto katikati ya maandishi ya wengi
Majuto ya kukejeli
Majuto ya kutochukua hatua kwa wakati sahihi
Majuto ya kuchukulia mizaha
Majuto ya kuupuuzia...
Nina hakika hata viongozi wa JF nao wanajuta kwa namna moja au nyingine.. Pengine kwa kutojali na kuweka barrier kubwa kati yao na wateja wao (wanachama) labda wakiwa busy zaidi na kusajili wanachama wapya, kurekebisha nyuzi, kuzifungia, kuzihamisha kuziondoa na kutoa adhabu
Kuna moja lilipaswa kuwepo na pengine limepuuziwa MAWASILIANO kati ya viongozi na wanachama na sio hivi ilivyo sasa.. Uhafifu mkubwa wa mawasiliano
Kuna sababu kubwa na muhimu sana kwanini watu wanakimbilia JF kama sehemu sahihi ya kusaidika kiroho na kimwili.. Slogans za HOME OF GREAT THINKERS.. where we dare to talk openly, zimewavutia wengi wakubwa kwa wadogo na watu wa kaliba zote kwenye jamii
Mpauko ameondoka.. Hatuishi milele! Lakini je pale alipodhani ni kimbilio sahihi hakujutia kwa aliyokutana nayo? Je wewe u mmoja wao waliomkebehi na kumkejeli au ni mmojawapo uliyempa faraja, tumaini na kumtia moyo?
Tuna ombwe kubwa sana kwenye jamii yetu.. Tumekuwa busy na ya kimwili kuliko ya kiroho... Ya kiroho tumewaachia watu wa dini tukidhani kuwa ni watu sahihi.. Lakini tunasahau kuwa ya kiroho ni zaidi ya mahubiri na mawaidha kwenye masinagogi.. Kule kuna vigezo masharti, mipaka na taratibu... Sio sehemu za kuongea kwa uwazi
Jamii haina muda na wanajamii... Habari mbaya ndio huwa habari kubwa kuliko habari njema! Kushindwa kwa wengine ndio mashangilio na furaha ya wengine..
Wazazi hawana muda na watoto
Mke hana muda na mume
Mume hana muda na mke
Ndugu hawana muda na ndugu
Hakuna mawasiliano ya kifamilia, hakuna mawasiliano ya kikaya hakuna mawasiliano ya kijamii ni kila mmoja na lwake.. Yanafanyika yale ya kimwili tuu tena kwa mipaka na yanayoonekana ni muhimu
Watu hawana pa kukimbilia.. Huko mitandaoni ni ujinga mtupu... Misaada na ushauri unaoombwa ni vituko tupu.. Mtu anaomba ushauri uliojaa mizaha na porojo... Watu wakikimbilia nyumba za imani huko nako kuna yake.. Hakuna cha bure
JF imeonekana kama sehemu sahihi... Je tunalitambua hili? Maombi yameshatolewa mara kadhaa kuwa kwenye maboresho walau liwepo jukwaa la misaada ushauri na kutiana moyo! Misaada si lazima iwe pesa la hasha.. Lakini liwepo jukwaa maalumu kwa mambo hayo...
Natambua mtanziko uliopo kati yetu kwakuwa ni vigumu kumjua nani mkweli nani muongo.. Nani mhitaji wa kweli na nani mzugaji... Tumeshatapeliwa sana hapa kwa kudhani tunasaidia penye tatizo la kweli kumbe hamna kitu... Lakini hii yote imetokana na sisi kudili na mwili zaidi kuliko roho...
Tunahitaji kuwa na jukwaa la kiroho lenye dhima ya kutoa misaada na ushauri wa mambo magumu wanayokutana nayo watu.. Tusiwe busy tu na majukwaa mengine.. Sasa hivi kejeli ni nyingi kwakuwa hakuna jukwaa maalumu la haya mambo... Hatujachelewa bado tunaweza kufanya hata sasa
Mwisho nilikuwa na mawasiliano ya karibu na marehemu Mpauko mwalimu aliyekuwa na tatizo la uziwi... Kwenye kujitambulisha kwangu aliwataja wana JF wawili kama reference Avriel na @manengelo
Kuepuka majuto mengine tusiwadharau na kuwakejeli tena wale wote wanaokuja na shida mbalimbali hapa.. Kama hutoweza kutoa hata neno la faraja basi at least usikejeli... HUJAFA HUJAUMBIKA... Na ya kesho huyajui
Hii barua yake ya kuomba msaada nadhani wengi mnaikumbukaView attachment 1368556
Sent using Jamii Forums mobile app
Amen, Barikiwa sana! AsanteElli nimekuelewa vzr kaka. Huyo dogo achana nae
Nimepitia comments zote nikarudi hapa.Nimerumiwa pm comments zake..na hii ni 2nd tym..kuna kipindi nilipigwa ban ...kuna mchizi akaniambia naja naja anasema umekula hela zake...sikuuona huo uzi...! Haya yaishe!
Dogo kuwa mkweli, ukisema ukiongea na hawa watu, mimi na wewe tuliwahi kuongea chochote? Tuliwahi kuwasiliana popote? Hizi screenshots unasema eti unazo, wapi umezitoa!?? Mimi nimeweka ushahidi wa mawasiliano yangu na Max je Uzi wako ulirudishwa baada ya wewe kuongea na Max au mimi? Kumbuka, Nina muda mrefu hapa na kama kuna MTU niliwahi kumtapeli hata senti ajitokeze hapa. Sijawahi kubadili hata ID since 2008, why nije nikutapeli wewe???? Binadamu ....
Kitaalam ktk makundi manne ya watu wanaitwa sanguineNimepitia comments zote nikarudi hapa.
Kwanza pole sana.
Pili dogo anasema hajakutaja wewe kwenye utapeli. Ila tuachane nayo.
Unajua dear wewe ambacho pengine kinaweza kikawa ni adui yako na haujakigundua ni 'kuongea too much", na ku promise vitu public sana. Jitahidi kupunguza. Ongea kidogo tena sana wala hautaona haya maneno yanakufuata.
Unajua tatizo la mtu anayeongea au kama sio kuandika sana? Huwa hapati muda wa kutafakari anachotaka kuandika na kujua baadae kitakuwa na madhara gani kwa mtu. Unakumbuka ile issue ya yule dogo?, unamwona tena jf?. Ni matokeo yako ya kuandika sana ukiona unamsaidia mtu kumbe unamchafulia sifa yake. Tuachane nayo.
Yawezekana huyu dogo ulimpromise sana, ukampa matumaini ya juu. (Niliona ule uzi ulikuwa unapromise haswa na kusema umewasaidia wengi, hata kwenye huu Uzi nimeona unasema yaani unasaidiaga hadi hubby ako anakumind). Sasa kwa maneno kama yale pengine dogo aliweka matumaini makubwa kwako, na watu waliokuwa kwenye zile nyuzi wengi tuliamini hautamwacha dogo hivi hivi. Sasa kama alikuwa na matumaini yote hayo na mwisho wa siku hakuambulia hata 10,000 unafikiria nini? Lazima ajione unajimwambafy public tuu.
Kuepuka maneno, epuka kuandika sana bila kujua madhara ya unachokiandika baadae. Epuka pia kutoa promise hadharani kwamba utamsaidia mtu kabla haujamsaidia. Hauwezi kujua ni wangapi waliacha kusaidia wakijua "pedeshee" Manengelo atasaidia.
Huu ni ushauri wangu wala hauna chuki yoyote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma tena vizuriShida haipo kwa kijana.. ipo kwenu.
ukimsaidia mtu lazima useme humu?
Tenda wema nenda zako nyie mnaelewa vipi?
Wapo watu wanatoa misaada mikubwa. Huwezi kuta anakaa anasema kua nimemsaidia kitu fulani..Biblia inasema ukitoa sadaka mkono wa kushoto usijue! Nyie mwafanya hivo?
Sio kila mtu lazima ajue kua mnatoa misaada, Toeni yabaki ndani ya mioyo yenu!
Ukisoma huu uzi mwanzo mwisho unaona kila mtu anasema jinsi anavyosaidia/alivyosaidia..msaada hautangazwi. Kuna mtu namjua kamsaidia sana huyo Robin pesa mingi sana ila hata kuja kwenye huu uzi hajaja. Hua anasaidia wengi sana humu ila huwezi muona akiongea kitu kwasababu anajua Definition and how ya kutoa Sadaka/msaada