TANZIA Mwana JamiiForums Miguu ya Kuku/ Mpauko afariki dunia

TANZIA Mwana JamiiForums Miguu ya Kuku/ Mpauko afariki dunia

Ndiyo ya msiba.
Kama wiki moja nyuma nilimuwish bday Yake, nikamwambia Mungu akijaalia nitakupa zawadi.

Sasa hiyo wiki amefika na kucomment
"Anne
Zawadi yangu."
Hakuna salamu,hakuna Pole Wala Nini.
Na sikuspecify kwamba nitampa zawadi gani.. Yeye moja kwa Moja akaja kunidai hela.
Nikamjibu kwamba sijasahau..nakumbuka..
Akajibu "mwee"

Sometime upole kupita kiasi Ni ujinga.
Nadhani hata Mimi Ni mjinga

Sent using Jamii Forums mobile app
Tena ujinga wa mwisho ambao hata mm ndio unanigharimu maisha yangu kwa sasa
Naishi maisha kama digi digi kwa ajili ya upole ,busara ,huruma yangu
Ndio.mana wenye roho mbaya wanafanikiwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naja naja nimetumiwa pm kuwa umesema nilikutapeli...sasa sion hata hyo comments .hebu uwe mkwel...uliandika uzi mods wakafuta....then ushimen akanichek nikamwambia huyu dogo anahitaj msaada..akasema yy ataandika uzi...two day ikawa kimya...nikawasiliana na Elli...nikamwwleza..yy ndo akaamua kwenda far ahead akawasiliana na maxence..na muda wote huo mm ww eli tunawasiliana...max akakupa go ahead ukanionyesha...

Kuna mtu akaweka namba yake kw michango...bahat nzur kun mtu yuko china akaniambia manengel sipend kichangia ila kwajili umehakikisha huyu dogo anahtaj msaada bas nikirudi dec ntachangia..nikamshukuru...na kuna mdhamini mwingine alijiotela kukupa hela yotwe nikakuambia pm...after 4dys jamaa akapata ajali mwanaye akavunjika mguu nikakuambia...! Nadhan tuliishia hapo..sasa mm utapeli wangu umetokea wap? Mbona kila kitu ulikua unanieleza nakuelewq? Hata km hukupata lakini uwe mkwel...mm siwez weka namba yangu ichangwe hata laki niile...kama kuna mtu humu alituma hela ya mchango ajitokeze aweke muamala hapa!

Asante uliyenitumia comment wasap!..kweli dunia hadaa![emoji119][emoji119]
Nioneshe wapi niliposema umenitapeli?

Mbona unajishtukia dada angu?
 
Nimerumiwa pm comments zake..na hii ni 2nd tym..kuna kipindi nilipigwa ban ...kuna mchizi akaniambia naja naja anasema umekula hela zake...sikuuona huo uzi...! Haya yaishe!
Weka ushahidi nilipoandika kwamba umenitapeli pesa?

Kwanza ni pesa zipi hizo ulizonitapeli dada angu?

Nilichoandika mimi kwenye huu uzi ni kwamba watu wawe makini na watu wanaojitokeza kujidai wanataka kutoa msaada basi.
 
Binafsi nimeshangazwa sana sana na comments zake! Ni kweli nilikua na mjadala mrefu na wewe, na baadae nikawasiliana na Maxence Melo juu ya jambo hili, kwa bahati nzuri akanieleza na Mimi nikamhakikishia kuwa wewe Naja naja ni kweli ni mhitaji ndio uzi wako ukawekwa hewani baada ya kufutwa.

Ilifika mahali Dada Huyu tuliamua tutoe pesa zetu wenyewe tukupatie lakini mambo ya kifamilia yakawa mengi including Huyu Dada wa watu kupata msiba kwao Mwanza. Ulitaka afanyeje ili umuamini??

Ulishindwaje kumuuliza hata inbox kile kilichotokea? Baada ya kuona jambo hili hapa nimempigia Max na nimemweleza kila kitu. Nyie ndio mnaofanya next time iwe ngumu kuwasaidia wengine. Mbona tunasaidiana sana? Ikitokea imeshindikana kufikia malengo yetu tusiwachafulie majina wengine.
Why umtaje huyu Dada tu na sio Mimi?? I am the one who organized everything ikiwa ni pamoja na kumshawishi Max.
Pole sana Dada. Mungu atakulipia.
Mkuu wapi nilipotaja jina la huyu dada?

Mbona unajishtukia mkuu?

Hivi unadhani humu JF ni wangapi waliojitokeza kusema watanisaidia matatizo yangu kulingana na uwezo wao Mungu aliowajalia, sasa iweje unajishtukia bila sababu ya msingi? Nini kilichojificha nyuma ya pazia?
 
I think now Max was right! Dogo amtake radhi huyu Dada wa watu aiseee. Duh ni last week tu tulikua tunaulizana jinsi ya kukupa chochote tulifikia mahali tukataka hata tukope kwa ajili yako Leo wewe ndio wa kusema hivi?
Mkuu acha kujishtukia, pia acha unafiki.

Sijamtaja huyo dada popote na wewe sijakutaja popote , sasa iweje unajishtukia?

Kaka kuwa na amani tu.
 
Ndio baadhi ya binadam bro

Mm hapa moyo umekufa kabisa sijui itakuwaje kusaidia wengine sijui kwa nn wahitaji ni walalmishi na waongo mda mwingine vinaumiza sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe huwajui hawa watu.

Tafadhari ukipata muda ,pitia thread zote humu JF ambazo kuna watu wanahitaji msaada ,95% utaona comments zao na zipo kwenye positive way 100% ila zina contradictions ndani yake.

Dada Hannah usinione mimi ni mchoyo wa fadhila ila ninachokizungumza nina kifahamu.
 
Rules za JF ziangaliwe upya Utani uwepo kwenye baadhi majukwaa tu

Mods wawe wanalisha watu BAN tu wanaojibu pumba kwa wenye uhitaji

bila kiongozi Bora familia hutoa mitoto mijinga jinga,Naamini JF tukiongozwa

na sheria na adhabu kali mizaha na comment za kipumbavu zitapotea zote

ni bora thread ikose wachangiaje kuliko kupata wachangiaji wa hovyo wasio na msaada

BAN ifike wakati zisambazwe mpk watu akili ziwakae sawa,Moderator na nyie

mnachangia kulea huu ujinga.Jichunguzeni sana na team yenu Maxence Melo
Naunga mkono hoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu wa china nitamuonesha ...maana aliahidi....huyu alovunjikiwa mtoto anaona kinachoongelewa! Yaan..kh[emoji28][emoji28]!yaishe lil sisy ! Mie sina kinyongo naye .hyo situation naijua....!ila asipobadilika atashindwa ishi na watu ..hii naisema kabisa..
Dada umechelewa, si kila mwenye shida atabaki kuwa na shida miaka nenda miaka rudi maisha yanabadilika.
 
Ndiyo
Hata Mimi niliona jinsi anavyochamba Watu.
Nikabaki nashangaa tu.

Huyu mwingine alikuwa mpole na mvumilivu katika kuwasilisha maombi yake na kuwajibu Watu.

Maskini dada wa Watu,ukajitoa..si ajabu unaforgone vitu vyako vingine ili tu usaidie lakini Kuna Watu huwa hawana shukrani jamani.


Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu,humjui huyo unayemuunga mkono.

Jiulize kwa nini kila biashara itakayodajiliwa humu JF yeye ameshawahi kuifanya?
 
Dogoleeee achaga bangeeee! Acha kusingiziaga uongo??

Don't make a promise you can't fulfill...
Mkuu.

Pitia kwa umakini thread za watu wanaoomba msaada humu JF lazima utaona huyu dada ajitokeze .

Pia jiulize kwa nini kila biashara itakayojadiliwa humu JF yeye ameshawahi kuifanya?
 
Mna mioyo ya huruma ,Mungu awabariki Sana.

Mimi huyu uzi wake nilisoma,yawezekana kweli Ni muhitaji ila naona Kama hakuwa na busara katika kuwasalisha shida zake.
Ni mtazamo tu

All in all hakuna aliyekamilika.
Samehe na msiache kusaidia

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwajui hao watu.

Wapo watatu.

Na hata hizi screenshot anazotuma usidhani labda ni ngeni machoni mwangu, kama ni ngeni aje huyo dada athibitishe.

Usidahaike nao mkuu.

Kuwa nao tu makini, inatosha.
 
Najua hata wewe hukuwahi kujua niliwasiliana na Max kwa ajili yake, zaidi ya kukupa feedback tu, lengo lilikua ni kulinda privacy yake lakini kwa kuwa hana busara basi. Naja naja naweka screenshots za Pm zangu na Max, je uliwahi kujua kuwa Elli alifanya Haya? Sikuwahi kusema kwa MTU hata siku moja kwajili ya heshima but kwa ujinga huu, umenikera sana.

Niambie ni wapi huyu Dada amehusika? Kama kuna lawama zozote zitupe kwangu, yeye ndio alikua mhamasishaji tu. Umeharibu sana
Jamani huu ni uongo.

Hapa jamaa anajifanya huyo dada hajui chochote.

Kwa kifupi hizi screenshot alinitumia huyo huyo dada maana kuna kipindi nilikata tamaa kuelezea shida zangu humu wakanishawishi niongee na uongozi ndipo nikaongea na mhariri na Maxence Melo, na Melo niliongea Whastap moja kwa moja nikamueleza situation yangu .

Melo na Mhariri baada ya kujiridhisha walirudisha uzi wangu jukwaani ila nilijifikiria mwisho wa siku nilipoona natukanwa na kudhihakiwa jukwaani nikamjulisha huyu dada kwamba nataka niongee na Melo afute nyuzi zangu maana nimechoka kutukanwa ,huyu dada akakataa kata kata ila sikumsikiliza nikaongea na Melo afute nyuzi zangu zote nazohitsji msaada maana niligundua hawa hawana nia nzuri na mimi maana hata nikiwapigia simu walichokuwa wanakiongea unaona kabisa sio watu wazuri ni matapeli mwisho wa siku wataniletea matatizo .
 
We unazingua si yashaisha angalia mbele
Jamani huu ni uongo.

Hapa jamaa anajifanya huyo dada hajui chochote.

Kwa kifupi hizi screenshot alinitumia huyo huyo dada maana kuna kipindi nilikata tamaa kuelezea shida zangu humu wakanishawishi niongee na uongozi ndipo nikaongea na mhariri na Maxence Melo, na Melo niliongea Whastap moja kwa moja nikamueleza situation yangu .

Melo na Mhariri baada ya kujiridhisha walirudisha uzi wangu jukwaani ila nilijifikira mwisho wa siku nilipoona natukanwa na kudhihakiwa jukwaani nikamjulisha huyu dada kwamba nataka niongee na Melo afute nyuzi zangu maana nimechoka kutukanwa ,huyu dada akakataa kata kata ila sikumsikiliza nikaongea na Melo afute nyuzi zangu zote nazohitsji msaada maana niligundua hawa hawana nia nzuri na mimi maana hata nikiwapigia simu walichokuwa wanakiongea unaona kabisa sio watu wazuri ni matapeli mwisho wa siku wataniletea matatizo .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwingine Huyo Hapo.... Wenye kujua namna ya kufanya follow up wafanye ili kupima magnitude ya tatizo ili apewe msaada...

NB: Guys msaada Sio pesa tu Kuna mtu alikuja humu majuzi akasema anahitaji kibarua chochote malipo iwe Mlo ili aishi tu kutokana na ugumu wa maisha (nimeshindwa kuupata Uzi ili niuweke Kama reference msome)....


Kuna level ya matatizo mtu anakuwa ameshaathirika kisaikolojia hata Kama akisaidiwa Kama msaada wa kisaikolojia utaachwa nyuma Huyo mtu tunaweza mpoteza ... Nowdays suicidal cases Tanzania zinaongezeka mno sababu kubwa Ni tunaamini usululuhishwaji wa changamoto ni kumpa mtu pesa tu Basi.



Onyo najua Kuna vibaka wengi watatumia huu mwanya kuingia humu. Tuweni wajanja ... This is a home of great Thinkers ... Marehemu kwenye kuomba Ada aliweka mpaka barua ya Halmshaur ya mtwara ikimtambulisha kuwa achangiwe. Alitoa mpaka jina na chuo kilipo watu wakathibishe changamoto zake... Na alitaka watu wachukue mpaka mawasiliano ya mkuu wa chuo wakaongee nae kuhusu changamoto zake. Lakini Kuna members humu wajiongozwa na YEHODAYA waliendelea kumuita ni tapeli ...


Hivi nakujiita Great Thinkers Hakuna members mtwara wangeweza kutika kwa mkuu wa wilaya kuulizia hili ? Pale Singida Hakuna members wangefika chuoni kwake kuulizia uhalali wa anachodai mwenzetu ... He was bullied ....


Hata Maxence Mello Alishindwa ku-indorse Tangazo la Kijana mwenzetu ili achangiwe ....


Jamii forum ina watu wa kila aina na kila kada , Jamii forum jitahidini mnavyoweza kushughulikia na muanzishe kitengo Cha mambo ya kijamii... Kazi yake ni kufanya assessment kwa wenye mahitaji na kuthibitisha uhalali wa case. Nyie mna network nchi nzima hamshindwi kuwasiliana hata na mkuu wa wilaya atume maafisa ustawi wafuatilie suala mnalotaka kuthibitishiwa hii itafanya kupata watu halali wanaopaswa kusaidiwa maana tunatumia Fake IDs.

Tangu mwaka Jana huyu kwangu ni mtu wa tano anakuja kuomba msaada nasikia kafa kiutani utani.





View attachment 1369297

Sent using Jamii Forums mobile app
Yalifanyika yote hayo kwa huyo marehemu na hicho cheti aliweza kigomboa, wapo watu waliendelea kumshika mkono pia.
Roho ya mauti ilitawala roho ya uzima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa ndio mzuka unapokata kbsaaa...

Half humu kuna wanarudisha jezi kimya kimya sisi hatujui tunadhani ni U bussy, kumbe Mchwa wanafanya yaoo....

Wote wapumzike kwa amani....

Huyu nae tuwe nae karibuu


Sijawah waza hizi mambo kbsa....
lkn sasa inatishaaaa.....
Mwezi uliyopita classmet wangu nae kajimaliza...

alinitumia tu msg usiku
'.......kwaheri rafk yangu,'.

Asubuh naona msg kupga hapatkani...
Nikajua kaenda mbele kwa trump maana week tatu kabla safar yake ilikua imeiva........

Mchana Dada yake ananipgia simu....
'Wewe ni rafiki wa ......?' nikamwambia 'ndio'
Akaniambia 'hatunaye tena, kajipumzisha mwenyewe'

Nilipigwa ganzi na butwaa moja hatar nilijikuta simu ipo miguuni huku bd ipo hewani...
Kwa yale mawazo ile siku sikutaka hata kuvuka barabara kubwa kbsaaa.....

Sijui nn kilimpataa ghalfa(Sitaki kuamini km ni Majibu ya Vipimo vya HIV ili aende mbele)... nakat Alipata dili moja kali sana la kwenda huko...

Watu wanatembea na sumuuuu......
Tuwe makini na lugha zetu kwa yyt yule....
Haya masuala ya kujutia lugha, mioyo yetu migumu na matendo yetu kwao baada ya tukio NIKUJITAKIA...
Spread love to every creature on your way.....
it might pay you or save them some days...

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea kwa hisia sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ooooo kumbe ni kweli unasema manengelo, Elli ni matapeli.
Embu tupe habari kamili tukae nao mbali.
Huwajui hao watu.

Wapo watatu.

Na hata hizi screenshot anazotuma usidhani labda ni ngeni machoni mwangu, kama ni ngeni aje huyo dada athibitishe.

Usidahaike nao mkuu.

Kuwa nao tu makini, inatosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poleni sana!
Asamehewe tu maisha yana mengi mapito
Najua hata wewe hukuwahi kujua niliwasiliana na Max kwa ajili yake, zaidi ya kukupa feedback tu, lengo lilikua ni kulinda privacy yake lakini kwa kuwa hana busara basi. Naja naja naweka screenshots za Pm zangu na Max, je uliwahi kujua kuwa Elli alifanya Haya? Sikuwahi kusema kwa MTU hata siku moja kwajili ya heshima but kwa ujinga huu, umenikera sana.

Niambie ni wapi huyu Dada amehusika? Kama kuna lawama zozote zitupe kwangu, yeye ndio alikua mhamasishaji tu. Umeharibu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom