TANZIA Mwana JamiiForums Miguu ya Kuku/ Mpauko afariki dunia

TANZIA Mwana JamiiForums Miguu ya Kuku/ Mpauko afariki dunia

Mrangi nimewah kukutukana nikiwa vyombo[emoji1787][emoji1787]! Hebu kuwa mkweli[emoji38]...ulipiga usk kwa namba ngeni nikaask tu kwa ukali ww nan?[emoji1787][emoji1787]ukayeya!maana nilikua nishalala...doh! Ww bwana ![emoji28]
Ulikuwa vibe.... [emoji23][emoji23][emoji23]
Lkn mbn kesho yke tukawa fresh tu

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtu alienda paka chuo akaleta uthibitisho ni kweli na yeye akachanga laki lakini watu wapi wakambeza bado
Angefungua I'd mpya mngedai I'd ya zamani binadamu hamtabiriki. Kwenye moja ya thread zake alitaja majina yake, namba ya simu na jina la chuo alichosoma....mlitaka utambulisho gani mwingine?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana, matatizo tumeumbiwa binadamu, wewe unaweza kuwa na changamoto hiyo ukaona kama Mungu amekuacha lakini kuna mwingine ana changamoto kubwa zaidi cha muhimu ni kutokukata tamaa na kumtegemea Mungu tu
Ameen mkuu
 
  • Thanks
Reactions: ram
Ila mpaka baharia anafikia hatua ya kujipiga kitanzi...yani inaonekana wazi maji yalimfika shingoni...halafu akakosa mtu wa kumpa ushauri mzuri...dah inaumiza sana

Nimepitia nyuzi kadhaa za mwana...kumbe ameanza kulalamika siku nyingi juu ya changamoto anazopitia watu wakawa wanamchukulia poa...

Nimeamini JF watu wapo really sana kama mtu akipost anachangamoto basi inawezekana 90% ya kile anachokizungumzia kweli kinagusa maisha yake..

Angalizo wana JF tuwe tunatoa ushauri kadri wa uwezo wetu tuache mizaha mingi..sometimes uzi wa mtu unaweza ukawa about life and death...so let things sometimes
Rules za JF ziangaliwe upya Utani uwepo kwenye baadhi majukwaa tu

Mods wawe wanalisha watu BAN tu wanaojibu pumba kwa wenye uhitaji

bila kiongozi Bora familia hutoa mitoto mijinga jinga,Naamini JF tukiongozwa

na sheria na adhabu kali mizaha na comment za kipumbavu zitapotea zote

ni bora thread ikose wachangiaje kuliko kupata wachangiaji wa hovyo wasio na msaada

BAN ifike wakati zisambazwe mpk watu akili ziwakae sawa,Moderator na nyie

mnachangia kulea huu ujinga.Jichunguzeni sana na team yenu Maxence Melo
 
Kuna watu humu walitumia matatizo yangu for their own advantages.
Naja naja nimetumiwa pm kuwa umesema nilikutapeli...sasa sion hata hyo comments .hebu uwe mkwel...uliandika uzi mods wakafuta....then ushimen akanichek nikamwambia huyu dogo anahitaj msaada..akasema yy ataandika uzi...two day ikawa kimya...nikawasiliana na Elli...nikamwwleza..yy ndo akaamua kwenda far ahead akawasiliana na maxence..na muda wote huo mm ww eli tunawasiliana...max akakupa go ahead ukanionyesha...

Kuna mtu akaweka namba yake kw michango...bahat nzur kun mtu yuko china akaniambia manengel sipend kichangia ila kwajili umehakikisha huyu dogo anahtaj msaada bas nikirudi dec ntachangia..nikamshukuru...na kuna mdhamini mwingine alijiotela kukupa hela yotwe nikakuambia pm...after 4dys jamaa akapata ajali mwanaye akavunjika mguu nikakuambia...! Nadhan tuliishia hapo..sasa mm utapeli wangu umetokea wap? Mbona kila kitu ulikua unanieleza nakuelewq? Hata km hukupata lakini uwe mkwel...mm siwez weka namba yangu ichangwe hata laki niile...kama kuna mtu humu alituma hela ya mchango ajitokeze aweke muamala hapa!

Asante uliyenitumia comment wasap!..kweli dunia hadaa!🙌🙌
 
Dah. Watu wengi tumekosa ubinadamu ndani yetu. Pole sana.

Sent using Jamii Forums mobile app


Hanna huyu dogo hakuchangiwa kitu nimeelzea kila kitu na yy anajua nashangaa anasema tulipiga hela kwa mgongowake doh..jamani hizo ni laana! Na wotr walioahidi kwangu wtatua hela hakuna hata mmoja alotuma. Na walipatwa majanga na yy anajua hilo..anywys!
 
Kuna mtu niliwah mwambia pm..mtu anaanzisha uzi kuwananga single mazaz ..huyo huyo ukimsoma sana anakuambia amelelewa na mama....kama kuna makundi yanafaa kuheshimiwa ni hili jamani!...mie nawajua maarufu wawili kwa kukandia wamama hawa! Automatic nikawachukia!
Single mothres gani unazungumzia? Ni hawa wanaoona kuishi na wanaume kunawazibia riziki na kuamua kukaa peke yao ili wapate nafasi ya kudanga? Unakuta wana mabwana kibao? Au ni wale ambao kwa namna moja au nyingine wamepata bahati mbaya na kutokuwa na wenza?
 
Imagine that was so bad... Jukwaa kama MMU nimeacha kupitia it's full of crap heads.

Sent using Jamii Forums mobile app


Hakuna sehemu ya ajabu na ovyo kama MMU..mie ukiona nimeingia pm bas nnataka sinzia...siingii siipend...! Plus chitchat..mtu anakuattack bila hata sababu...mie mwaka huu ninesema had april niwe nimeacha jf kwa 99%
 
Single mothres gani unazungumzia? Ni hawa wanaoona kuishi na wanaume kunawazibia riziki na kuamua kukaa peke yao ili wapate nafasi ya kudanga? Unakuta wana mabwana kibao? Au ni wale ambao kwa namna moja au nyingine wamepata bahati mbaya na kutokuwa na wenza?


Sijui
 
Hanna huyu dogo hakuchangiwa kitu nimeelzea kila kitu na yy anajua nashangaa anasema tulipiga hela kwa mgongowake doh..jamani hizo ni laana! Na wotr walioahidi kwangu wtatua hela hakuna hata mmoja alotuma. Na walipatwa majanga na yy anajua hilo..anywys!
Kumbe alikuwa anakuongelea wewe?.
Pengine labda sio wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom