TANZIA Mwana JamiiForums Miguu ya Kuku/ Mpauko afariki dunia

Wewe hapa kuna la maana umeongea?
Mtu simjui naambiwa kajiua unataka niongee nini uone ni cha maana. Niseme achievements zake au kipi hasa ninachojua. Njoo mwenyewe uongee hiyo maana.
Kwa hiyo mtu humjui ukaona best thing ni kumsimanga mdogo wa marehemu wakati huo huo na wewe uliyafanya hayo,
Ungepita kimya au ukaandika RIP ungepungukiwa na nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi tuliwasiliana sana.akaniambia hali yake ni nafuu kidogo dada yetu humu ni msaada sana kwake sasa sijui imekuwaje....hata siamini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo mtu humjui ukaona best thing ni kumsimanga mdogo wa marehemu wakati huo huo na wewe uliyafanya hayo,
Ungepita kimya au ukaandika RIP ungepungukiwa na nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna nilipomsimanga mtu.
Nimesema kile kilichofanywa na mdogo wake nilishawahi kukifanya pia. Ulitaka nitoe R.I.P, sawa.
R.I.P kwa marehemu.
 
Niliwasilianaga nae sana pm.pia aliniambia dada manengelo anamsaidia sana.tukaja poteana.nadhani nitaiamini hii taarifa kama itathibitishwa na @manengelo

Sent using Jamii Forums mobile app


Najua mlokua mnawasiliana aliniambia pia..leo nimeshindwa kabisa kufanya kazi dah so amewasiliana na mm week moja mbele akajiua...i wish ningemjua huyo boss wake kwa hapa jf..dah
 
Uliandika hivi:
Mkuu eti inawezekana mdogo wa marehemu atumie simu ya aliyekufa kwa muda wote huo, bila hata kubadili sim card. Sasa ana lengo gani nayo. Hatujui. Mimi nilipewa simu ya babu yangu nikae nayo alipokufa baada ya miezi miwili nikaizima.
Sasa ulichoshindwa kuelewa ni nini hapo. Nimehusianisha alivyofanya mdogo wa marehemu na nilichofanya mimi.
Babu yangu kuna taarifa za transaction zilitakiwa zije kwa namba yake, huyu sijui kitu gani kinamfanya akae na simu ya kaka yake. Kama unajua twambie, mbona mnatumia nguvu nyingi kutafsiri statement ndogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…