TANZIA Mwana JamiiForums Miguu ya Kuku/ Mpauko afariki dunia

TANZIA Mwana JamiiForums Miguu ya Kuku/ Mpauko afariki dunia

Ndugu huna cha kujilaumu! Tena Ahsante kwa kuwa na Utu wa kumsaidia mtu kwa kuwa ana shida, bila ya kujuana naye kwa undani. Binafsi huyu marehemu alinishirikisha baadhi ya masuala na nilisaidia nilivyoona itamsaidia. Kati ya ujumbe wa mwisho nafikiri ni Desemba, aliniarifu wamempatia vyeti vyake na ameahidiwa uwezekano wa kupata kazi kama si Januari ni Februari.
Kinachoniacha hoi ni leo hii kujua kuwa sikuwa peke yangu niliyemsaidia, na ambacho sielewi zaidi ni kwa vipi mtu anayepewa aina mbalimbali ya misaada iwe ni mawazo, fedha, connections, n.k. ,tena na watu baki bado anakuwa na hali ya kukata tamaa mpaka kujitoa uhai wake?
Hatuwezi kupata majibu, ila bado inanishangaza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu marehemu hata mimi alishawahi kunijia pm nikampa mchango wa mawazo ambao alijaribu kufanya alichofanya ingawa response kwa baadhi ya watu wenye nyadhifa zao ilikuwa ni ndogo sana.Hapo ninachokiona ni stress ndio zitakuwa zimemfikisha kwenye hatima ya uhai wake,ukiangalia nyuzi alizokuwa akiziandika ni za kukata tamaa ya kuishi karibu zote.Kwa tuliobaki duniani,tusitumie nguvu sana kuzitumainia akili zetu wenyewe hasa tunapokutana na mambo magumu kuliko tunavyoweza,Mungu yupo na tukimtumainia yeye atatuonyesha njia ya kutokea...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Changamoto ni namna gani ya kuthibitisha yupi tapeli yupi mwenye shida ya kweli. Kumbuka Kuna watu wametapeliwa humu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mkuu, kwa Hali ya kawaida kabisa, ya kawaida kabisa , Kuna mtu anaweza akawa yuko vyema alafu akaingia kwenye utapeli ?? Shida..shida hizo mkuu ,

Kuna siku fulan niko Mwenge naenda Morocco, kapanda mtu kwenye gari , kaomba msaada (anasema ni kipofu) ila ukweli huyo mwamba sio kipofu alishtukiwa , watu wachache Sana tulimpa msaada , alivyo shuka , mtu aliekua pembeni yangu akaniambia "umetapeliwa" nikamwambia , siku yeyote ukakutana na mtu wa hivi akikuomba pesa au msaada wowote Kama uko ndani ya uwezo wako mpe , mpaka mtu anafikia hatua hiyo jua Hali ishakua tete , Kila kitu kimeteli , ni shida sio kwamba anapenda , shida za dunia hii

Siku nyingine jiran na mliman city , usiku mzito , nikakutana na jamaa na mkewe , ukiwaangalia walivyo ni Kama wakurugenzi jamaa akanisimamisha , akanisalimia akaniambia , huyo unae muona ni mke wangu na yule mtoto anaelia ni mwanangu , mtoto mgonjwa na hapa Sina pesa, aliomba pesa ya dose, nikampa pamoja na yakutumia ..siku nyingine tena Mwenge hapo hapo, binti kaniomba naul, pesa ndogo niliyokua nayo ni 2000, nikampa, sasa wakati narudi geto nikamwona anatoka dukani (nahisi alinunua unga au mchele) nikaamua badili uelekeo faster asinione angejisikia vibaya Sana

The point is, Mungu inawezekana kakupa kidogo, ila mwenzio wakati au siku hiyo hana, swala la utapeli kwenye shida lifute kabisa mkuu, hata Kama unajua kabisa huyu ananidanganya , ukiweza saidia msaidie tu , ni shida sio yeye, hutofilisika na Mungu akubariki ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii imenisaidia sana mimi, kuna watu walikuwa wananizodoa eti unasema una hali ngumu ila kutwa kiguu na njia ila imenisaidia sana, ningebakia palepale huenda hata mimi ningekuwa marehemu....hata kama si kwa kujinyonga yangeniua hata magonjwa maana hata yenyewe hayakuwa nyuma kunishambulia, yaani kama nina ukimwi vile likitoka hili linaingia hili

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha usichekeshe watu, tuko kwenye majonzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JF usipokua na Roho ngumu unaweza ukajiua

Mimi nawalaumu mods. Maxence na wengine. Sawa JF ni platform ilitotengenezwa kwa nia nzuri. Ni sehemu ambayo watu wamepewa uhuru wa kujieleza huku ID zao zikibaki anonymous. Dhamira ilikua ni kuendeleza na kukomaza demokrasia.

Shida inakuja hapa mods wanashindwa ku control contents or hawataki na kuamua kupuuzia ilimradi ku maintain "traffik" Kwenye hii site. JF imetoka kwenye motto yao ya "home of great thinkers" imekua "home of bullies".

Humu ndani kuna makundi ya watu wanakua bullied. Celebrities, politicians,Single mothers, wanawake ambao sio bikra, depressed people wanaokuja kuomba ushauri kwa ku take advantage ya anonymity ya JF kwamba hamna anaewajua humu personally hivyo anaweza kueleza shida zake bila fedheha ya aina yoyote. Cha kushangaza ni kua nyuzi na replies za kebehi na bullying mods hawazitilii maanani wao wanakomaa na "matusi tu". Acheni hizo.

I blame his death on moderators. Sijui ku tag ila ningewatag wote. Acheni double standards, hypocrisy na misogynistic behaviour. Jifunzeni kwa Zuckerberg yeye anajitahidi sites zake ziwe bully free.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshana Jr, Natetemeka siamini ninachokisoma..
Mungu pekee anajua ninavojisikia juu ya Robin.
Karibia mwezi mzima namtafuta nijue progress yake then kuna kitu nimeandaa incase alipo( maana lastly alinambia yuko Dar kwa mama mmoja ) hajaanza kuona mwanga nimchukue tuendelee na michakato tuliyoanza anione live nikiendelea nayo apate tumaini.
Baada ya kuwasiliana na kaka mwingine tukagusia issue ya Robin Friday akanambia amefungiwa simu, nikapotezea issue nikijiambia nitamtafuta tena kwa pm Jf au nipige simu mtwara wakanitafutie mawasiliano kwao.

Sijui niandike nini Mimi.
Nina deni kubwa kwa Robin.
Process ya kushughulikia suala lake kuanzia tamisemi mpaka wizarani imekuwa too slow..
Aaahhhh Mungu wangu na Baba yangu!!!
Wacha nishukuru tu sina naweza sema kwa usahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha kweli ni kitu cha kupita; huyu ndugu niliwahi kuwasiliana naye siku za nyuma kupitia Inbox. Nikamtumia mzigo fulani kwa Moneygram lakini akasumbuliwa sana kuupokea mwishowe baada ya zaidi ya mwezi hivi ukanirudia mwenyewe.

Nasikitika kuwa niliplani kutumia tena kwa njia nyingine lakini baadaye tukakosa mawasiliano hadi leo ninaposoma post hii.

1582673353525.png


Kwa bahati mbaya sikuwahi kusoma threads zake hata siku moja zaidi ya PM tu.
 
Maisha kweli ni kitu cha kupita; huyu ndugu niliwahi kuwasiliana naye siku za nyuma kupitia Inbox. Nikamtumia mzigo fulani kwa Moneygram lakini akasumbuliwa sana kuupokea mwishowe baada ya zaidi ya mwezi hivi ukanirudia mwenyewe.

Nasikitika kuwa niliplani kutumia tena kwa njia nyingine lakini baadaye tukakosa mawasiliano hadi leo ninaposoma post hii.

View attachment 1369240

Kwa bahati mbaya sikuwahi kusoma threads zake hata siku moja zaidi ya PM tu.
Ulijitahidi sana mkuu japo msaada wako haukuweza kumfikia mlengwa. Dhamira yako ni safi na thawabu hakika utapata. Apumzike kwa amani Marehemu...
 
JF usipokua na Roho ngumu unaweza ukajiua

Mimi nawalaumu mods. Maxence na wengine. Sawa JF ni platform ilitotengenezwa kwa nia nzuri. Ni sehemu ambayo watu wamepewa uhuru wa kujieleza huku ID zao zikibaki anonymous. Dhamira ilikua ni kuendeleza na kukomaza demokrasia.

Shida inakuja hapa mods wanashindwa ku control contents or hawataki na kuamua kupuuzia ilimradi ku maintain "traffik" Kwenye hii site. JF imetoka kwenye motto yao ya "home of great thinkers" imekua "home of bullies".

Humu ndani kuna makundi ya watu wanakua bullied. Celebrities, politicians,Single mothers, wanawake ambao sio bikra, depressed people wanaokuja kuomba ushauri kwa ku take advantage ya anonymity ya JF kwamba hamna anaewajua humu personally hivyo anaweza kueleza shida zake bila fedheha ya aina yoyote. Cha kushangaza ni kua nyuzi na replies za kebehi na bullying mods hawazitilii maanani wao wanakomaa na "matusi tu". Acheni hizo.

I blame his death on moderators. Sijui ku tag ila ningewatag wote. Acheni double standards, hypocrisy na misogynistic behaviour. Jifunzeni kwa Zuckerberg yeye anajitahidi sites zake ziwe bully free.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi. JF is full of bullies. Yaani hakuna ubinadamu kabisa. Tabia hizi za kutukanana, kukejeliana na kudogoshana zingekuwa zinaishia huko kwenye jukwaa la siasa ingekuwa poa sana. Hawa wanaojitoa mhanga mpaka kuja hapa kuomba msaada mods itabidi waanze kuwa macho na kufuta comments zote zenye ukakasi na kuvunja moyo. Huduma za mambo yanayohusu ubongo bado sana hapa kwetu na mpaka mtu uokote makopo ndiyo watu wanajua kuwa kweli kichwani hauko sawa. Magonjwa kama depression na sijui bipolar utaambiwa kuwa hayo ni magonjwa ya wazungu na matajiri. Na kutukanwa juu...Sad !!!
 
Walimu wa Kuanzia 2015 mpaka leo namuomba Mungu wa mbinguni atusimamie sana

Yupo class mate wangu from moshi kajinyonga last year

Mwingine kauwa mtu katokomea mpaka leo kisa shamba

Mimi pia nshawahi kutaka kujitupia kwenye scania!!!

Maisha magumu sana. Tumesomeshwa kwa shida afu hatuna msaada hata kurudi home hatutaki.

Ewe Mungu tusimamie sana na msamehe mwalim huyu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui nimeongea kisukuma. Kuna sehemu nimeonesha kushangaa?
Mi nimemwambia inavowezekana na nikampa mfano ilivokuwa kwangu afu wewe unanambia nashangaa. Kutoa ushuhuda ni kushangaa?

Uandishi katika public forums ni taaluma mkuu, wewe ulitaka swali lieleweke tofauti na ulivyoandika hivyo haya maswali hayataisha!

Kuuliza 'anatumia hiyo simu kwa malengo gani' kunaleta utata kuwa ama hujafurahishwa na huyo dogo kutumia simu ya marehemu / ama huyo dogo anafanya jambo baya sana kutumia simu ya marehemu / ama una wasi wasi na mmiliki wa simu kuwa hajafa na anaendelea na matumizi ya simu!

Then mwishoni ulipoonyesha kuwa nawe ulishatumia simu ya marehemu ndipo watu wanapata hasira kwa sababu Kiafrika malengo ni yale yale ya kutoa taarifa kwa marafiki wataopiga hiyo simu (Kama hivi imesaidia nasi tukapata/ kutrace madeni/ ana family ingine/ miradi na n.k). Iweje ushatumia simu ya marehemu halafu unauliza malengo? wewe ulitumia kwa malengo yepi? ulitumia muda wa miezi miwili then unashangaa mwenzio kutumia kwa mwezi tuu?

Tujitahidi kuweka maandishi kadiri tunavyowaza ili ujumbe tunaodhamiria ufike bila utata!
 
Usichukulie siasa too personal, unaowapigania huko probably muda huu wamekaa wanapiga bia/mvinyo na mahasimu wao.

Siasa is just a game!


Nop...sio unavyofikiria...mm napenda siasa naturally..naandika nachopenda...naweza andika same na atakavyoandika mwingine akaja akakuattack ..najua hakuna kbs chama cha siasa kitakachinilitea chakula mezani...najua!so unabaki shangaa
 
Pole sana, Usiwe unapenda chukulia siasa too personal aisee!
Zile mishe nilishapata ufumbuzi wake na nikaendelea nazo. Sorry sikukupa feedback
Uwage flexible sisi wengine issue za political attacks hazitumaliziagi utu yaani tunaziachaga kwenye Uzi husika na ukija Uzi mwingine inakuwa issue nyingine, ivo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app


Nop..huwez kumbuka coz ww ndo ulinitenda! Acha ibaki hvhv!
 
Back
Top Bottom