TANZIA Mwana JamiiForums Miguu ya Kuku/ Mpauko afariki dunia

TANZIA Mwana JamiiForums Miguu ya Kuku/ Mpauko afariki dunia

Alifikia High peak of Depression mbaya hakupata mazingira rafiki ya kupunguza hiyo level ya Depression.

Portfolio | 2020


Ni vile ubinadamu tu..mie nilimpromise aje dar tuenjoy wote..akawa ananiambia i wish iw hata tmr .pale kwao wote wlimtenga .yaan kumtenga kbs..wanapika wanakula hawamwiti! Imagine sijui mtoto itakuwaje!
Bdw unaendeleaje na kazi pale?
 
Ni vile ubinadamu tu..mie nilimpromise aje dar tuenjoy wote..akawa ananiambia i wish iw hata tmr .pale kwao wote wlimtenga .yaan kumtenga kbs..wanapika wanakula hawamwiti! Imagine sijui mtoto itakuwaje!
Bdw unaendeleaje na kazi pale?
Nilitaka niandike hicho, at least angekaa na mtu kama wewe na angefungulia biashara ambayo ashurutishwi na mtu.

Portfolio | 2020
 
Nilitaka niandike hicho, at least angekaa na mtu kama wewe na angefungulia biashara ambayo ashurutishwi na mtu.

Portfolio | 2020


Shida kuelewana na mtu...!.ila tunajuta sana kumpoteza yule dogo! Nahisi alifika mwisho kbs! Alikosa msaada wa kuwa karibu na mtu...itaniumiza maisha yangi yote
 
Uandishi katika public forums ni taaluma mkuu, wewe ulitaka swali lieleweke tofauti na ulivyoandika hivyo haya maswali hayataisha!

Kuuliza 'anatumia hiyo simu kwa malengo gani' kunaleta utata kuwa ama hujafurahishwa na huyo dogo kutumia simu ya marehemu / ama huyo dogo anafanya jambo baya sana kutumia simu ya marehemu / ama una wasi wasi na mmiliki wa simu kuwa hajafa na anaendelea na matumizi ya simu!

Then mwishoni ulipoonyesha kuwa nawe ulishatumia simu ya marehemu ndipo watu wanapata hasira kwa sababu Kiafrika malengo ni yale yale ya kutoa taarifa kwa marafiki wataopiga hiyo simu (Kama hivi imesaidia nasi tukapata/ kutrace madeni/ ana family ingine/ miradi na n.k). Iweje ushatumia simu ya marehemu halafu unauliza malengo? wewe ulitumia kwa malengo yepi? ulitumia muda wa miezi miwili then unashangaa mwenzio kutumia kwa mwezi tuu?

Tujitahidi kuweka maandishi kadiri tunavyowaza ili ujumbe tunaodhamiria ufike bila utata!
Acha ujuaji wa kunisemea. Mimi nimesema sentensi chache, hujaelewa nikakuelekeza wewe unakuja na ujuaji wako wa kuweka maneno yako unayojisikia. Unapinga mawazo yangu unaweza yako kwa jina langu.
Yani nishangae kitu nilichofanya? Tena nimefanya kwa miezi miwili yeye kafanya kwa mwezi mmoja. Unashindwa kuelewa kitu kidogo na maelezo ya ziada sasa mambo magumu utayaelewaje.
 
Pole sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante Kiongozi, mm kbl ya kujidedisha nilifikiria Mara 2 km kifo ni suluhisho la matatizo nikaamua kutulia kuvumilia tu. Maana mwaka huo huo niliugua kifua kikuu nakuacha Shule kbl ya kuanza kidato Cha sita, na ndo ikawa Mara ya mwisho kusoma advance. Chuo nilipt ufadhili wa kusomeshwa km mtoto yatima ilhali wazazi wapo+ ndugu kibao ila nashukuru nilimaliza salama na kuambulia ajira za serikali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ajabu sana, mie alipofariki baba yangu ndani ya mwezi ule ule hata wiki ya tatu haikufika nikawambia wadogo zangu waitupe laini na ile simu waiuze ikiwezekana ili kuondoa trace za kumbu kumbu maana watu wasiokuwa na taarifa wanaweza endelea mpigia wakijua labda bado yupo hai. Ila kijana huyu ni mdogo sana kwa umri, alikuwa na ndoto zake lakini maneno ya kejeli na kuvunja moyo huenda yakawa ndio sababu kubwa ya kufikia kufanya maamuzi hayo.


Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
Jf member wengi wanavunja moyo sana niliomba ushauri safari 2 nyuma unaambulia kudhihakiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[
Acha ujuaji wa kunisemea. Mimi nimesema sentensi chache, hujaelewa nikakuelekeza wewe unakuja na ujuaji wako wa kuweka maneno yako unayojisikia. Unapinga mawazo yangu unaweza yako kwa jina langu.
Yani nishangae kitu nilichofanya? Tena nimefanya kwa miezi miwili yeye kafanya kwa mwezi mmoja. Unashindwa kuelewa kitu kidogo na maelezo ya ziada sasa mambo magumu utayaelewaje.

Sasa hapa ndipo umeonyesha kuwa kiwango chako cha umbulula ni cha hali ya juu sana!
 
Nina wasiwasi, kuna watu watazitumia hizi lawama, kuja kuanzisha uzi wa matatizo, wakipata msaada, waende bar.

Sujui tutawezaje kuwa-screen kabla ya kutuma hela.
 
Hapa ndio mzuka unapokata kbsaaa...

Half humu kuna wanarudisha jezi kimya kimya sisi hatujui tunadhani ni U bussy, kumbe Mchwa wanafanya yaoo....

Wote wapumzike kwa amani....

Huyu nae tuwe nae karibuu


Sijawah waza hizi mambo kbsa....
lkn sasa inatishaaaa.....
Mwezi uliyopita classmet wangu nae kajimaliza...

alinitumia tu msg usiku
'.......kwaheri rafk yangu,'.

Asubuh naona msg kupga hapatkani...
Nikajua kaenda mbele kwa trump maana week tatu kabla safar yake ilikua imeiva........

Mchana Dada yake ananipgia simu....
'Wewe ni rafiki wa ......?' nikamwambia 'ndio'
Akaniambia 'hatunaye tena, kajipumzisha mwenyewe'

Nilipigwa ganzi na butwaa moja hatar nilijikuta simu ipo miguuni huku bd ipo hewani...
Kwa yale mawazo ile siku sikutaka hata kuvuka barabara kubwa kbsaaa.....

Sijui nn kilimpataa ghalfa(Sitaki kuamini km ni Majibu ya Vipimo vya HIV ili aende mbele)... nakat Alipata dili moja kali sana la kwenda huko...

Watu wanatembea na sumuuuu......
Tuwe makini na lugha zetu kwa yyt yule....
Haya masuala ya kujutia lugha, mioyo yetu migumu na matendo yetu kwao baada ya tukio NIKUJITAKIA...
Spread love to every creature on your way.....
it might pay you or save them some days...

Sent using Jamii Forums mobile app

habari inasikitisha ila nimecheka hapo kajipumzisha mwenyewe🤣


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Baba ake anasema he is taking good care of the kid, na two days before the death of his son walizungumza issue ya mtoto shule na akaanzishwa shule.
Ni vile ubinadamu tu..mie nilimpromise aje dar tuenjoy wote..akawa ananiambia i wish iw hata tmr .pale kwao wote wlimtenga .yaan kumtenga kbs..wanapika wanakula hawamwiti! Imagine sijui mtoto itakuwaje!
Bdw unaendeleaje na kazi pale?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu mwenye real problem na kama anataka msaada aje na full ID yake sio fake ID ili asaidiwe, maana unaweza kumsaidia shetani.
Kuwe na utaratibu, duniani kufa ni kawaida, ukiwa dhaifu unakufa hiyo ni principle ya life. Kama Mungu angekuwa anajali basi na sisi tungekuwa tunajali habari za kifo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Angefungua I'd mpya mngedai I'd ya zamani binadamu hamtabiriki. Kwenye moja ya thread zake alitaja majina yake, namba ya simu na jina la chuo alichosoma....mlitaka utambulisho gani mwingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeumia Sana Sana Sana,,,ilah tatizo liko hapa

Jf inachukuliwa tofauti na Kila member
Kuna wengine wanaona Ni sehemu ya burudani

Wengine wanaona Ni sehemu ya kupotezea muda

Yaani hawaichukulii seriously Kama sehemu unaweza pata msaada wa muhimu,,,

Kwaiyo anapokuja mtu ana tatizo seriously,,watu wanashindwa kuamini, wanaona Ni masiala,,end of the day watu wanaanza kutoa michango kulingana na jinsi wanavyoichukulia JF,,,nimefuatilia nyuzi kadha za marehemu,,nimeumia mno ,,natamani ningeiona hata nyuzi moja kabla marehemu hajachukua uamuzi huo mgumu,,

Anyway,it's too late,,

Nadhani ifike wakati tubadilike kulingana na nyuzi,,ukiona nyuzi ina usiriasi na wewe jaribu kuwa siriasi,,Kama huwezi kua siriasi nenda kwenye nyuzi za masihara,,,

Haya Sasa mwenzetu tayari hayupo Tena, na wengi walimshauri Aina za sumu humu,,wengine wakawa wanauliza kabisa bado hujajiua TU mpaka saizi,,,

Kabisa mtu mziima,msomi ,mwenye familia,great thinker ,unamuuliza mtu"bado hujafa TU"

Mtu anaongea kabisa kuwa tayari ameshafanya several attempts za kujiua ,,,lakini mtu haamini anazidi kumshauri nonesenses

Haya wote mliomshauri Aina za sumu na mliomkumbusha ajiue fanyeni sherehe,mfurahie maana tayari ushauri wenu umefanya kazi

Asante mliotoa ushauri mzuri

Pumzika Kaka mpauko

Sent using Jamii Forums mobile app,using POP 2 power
 
Huyu marehemu hata mimi alishawahi kunijia pm nikampa mchango wa mawazo ambao alijaribu kufanya alichofanya ingawa response kwa baadhi ya watu wenye nyadhifa zao ilikuwa ni ndogo sana.Hapo ninachokiona ni stress ndio zitakuwa zimemfikisha kwenye hatima ya uhai wake,ukiangalia nyuzi alizokuwa akiziandika ni za kukata tamaa ya kuishi karibu zote.Kwa tuliobaki duniani,tusitumie nguvu sana kuzitumainia akili zetu wenyewe hasa tunapokutana na mambo magumu kuliko tunavyoweza,Mungu yupo na tukimtumainia yeye atatuonyesha njia ya kutokea...

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili ni neno ...stephot!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom