TANZIA Mwana JamiiForums Miguu ya Kuku/ Mpauko afariki dunia

Nimejikuta nakufikiria usiku huu wa manane mkuu Mpauko
Ni miaka miwili haupo lakini maumivu ya msiba wako kwangu bado ni makali

Mwenyezi Mungu akusamehe dhambi zako,nakuombea kila ninapokukumbuka
Endelea kupumzika kwa amani 🙏
 
Aliyenihuzunisha ni Warumi. Alikuwa mshirikina na anagawa number za waganga kwa wana JF. Anyway.. huwenda alitubu kabla ya kifo
Duh!
Ila tunaamini katika toba, huenda alitubu kwa Mungu wake. Tanzania hii hizi ibada mbili(kuabudu ushirikina na kuabudu Mungu wa wazungu) ndio zinashamiri sana.
 
Sometimu humu Jf, mtu mkipatana mkabadirishana namba za simu kwa kupigiana na kujuliana hali inasaidia kuwa na taarifa sahihi za wana Jf walio hai,
R I P, kwa jamaa yetu
 
Nimejikuta nakufikiria usiku huu wa manane mkuu Mpauko
Ni miaka miwili haupo lakini maumivu ya msiba wako kwangu bado ni makali

Mwenyezi Mungu akusamehe dhambi zako,nakuombea kila ninapokukumbuka
Endelea kupumzika kwa amani 🙏
Tuna akina mpauko wengi humu tunaishi nao. Bahati mbaya wakishirikisha members humu JF magumu wanayoyapitia, wanaishia kupata kejeli na masimango. Very sad.
 
Ni kweli wapo
Shida ya JF kujua mwenye shida kweli na anayejaribu kuwa tapeli ni ngumu

Nimejikuta naangalia picha ya Mpauko usiku huu ....very sad!!
 
Tuna akina mpauko wengi humu tunaishi nao. Bahati mbaya wakishirikisha members humu JF magumu wanayoyapitia, wanaishia kupata kejeli na masimango. Very sad.
Kama mimi nahitaji kushikwa mkono ila nakosa msaada. Kuna namna nimegota sioni msaada na nawaza mawazo mabaya kwakweli.Sijui nimshirikishe nani anisaidie?
 
wewe ni wa kike ama wa kiume.? Nini kinakusumbua.? Watu wako wa karibu wanajua tatizo lako.? Una utaratibu wa kujichanganya na kuongea na watu.?
 
Back
Top Bottom