TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

Pumzika kwa Amani Dena,
MUNGU aipe nguvu familia yake kwenye hiki kipindi kigumu
 
Ni habari za kusikitisha kwa familia ya JamiiForums kwa ujumla wake.

Inadaiwa marehemu Dena Amsi amefariki jana baada ya kuugua kwa siku kadhaa.

Taarifa za kina juu ya nini kilitokea na msiba upo wapi zitafuatia.

Mwenyezi Mungu amsamehe dhambi zake na kumjalia pumziko la milele.

R.I.P Dena Amsi
picha yake pse
 
RIP Dena Amsi.Nilikuwa nasoma sana habari zako humu.Tangulia nasi tunakuja its just a matter of time!!!!!!!
 
Huwa najiuliza,hivi ni nani anatoa taarifa za msiba wa mwana JF,huwa anajuaje kuwa huyu ni member,maana mimi nikimaliza kuchat tu nasign out.
Au huwa anaacha bila kusign out na ndiyo njia pekee mtu anaweza kuona ID japo bila password.
Sikuhizi kuna kufahamiana kati ya memba huyu na yule

Na hasa hizi grps zimetuleta karibu zaidi. So inakua rahisi kujua kilichomsibu mwingine

R.I.P Dena... Pole kwa ndugu,jamaa na marafiki kwa kumpoteza mpendwa wetu
 
Je inamaana kuna member wanafahamiana live mpaka kumjua mtu personal au nikuaminiana tu?
 
Back
Top Bottom