TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

RIP Dena.
Wekeni basi picha yake ya kiukweliukweli.
Mkuu kama yeye alipokuwa hai hakuweka picha yake halisi sidhani kama ni busara mtu yeyote aweke bila idhini yake.Ukitaka kujua ni ngumu ebu mkuu wewe weka picha yako halisi.
 
mara ya mwisho Dena Amsi nilimuuliza bado upo morogoro,akanijibu kuwa amekwishaacha kazi yake ya ualimu na ameamua kuwa mjasiriamali,hakika nitakukumbuka kama dada na rafiki R.I.P
 
RIP DA.

Wanaotaka picha yake, itakua ni kuanika utambulisho wake. Picha itapelekea jina na mengine ya binafsi kujulikana.
Kwa kua alitumia ID siku zote na hakuwahi kuweka picha, sio busara kuyaweka hapa.
Binafsi nilimfahamu (hata picha ninayo), ila tuheshimu privacy yake.

Sad to loose a friend.
Sidhan Kama kuna ubaya wowote ukituwekea pic yake tumtambue mwenzetu aliyetangulia mbele za haki,R.I.P Dena Amsi
 
Rest in Peace Dena Amsi . Ntakukumbuka kama mmoja wapo wa members wakongwe na mtawala wa jukwaa mojawapo.
 
Huwa najiuliza,hivi ni nani anatoa taarifa za msiba wa mwana JF,huwa anajuaje kuwa huyu ni member,maana mimi nikimaliza kuchat tu nasign out.
Au huwa anaacha bila kusign out na ndiyo njia pekee mtu anaweza kuona ID japo bila password.
Nadhani kuna members wengine anafahamiana nao so nahisi ndio wanaotoa taarifa Hizi
 
Back
Top Bottom