TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

Pumzika kwa Amani Dena. Pole kwa wote walioguswa na msiba huu
 
Dah
Ni habari za kusikitisha kwa familia ya JamiiForums kwa ujumla wake.

Inadaiwa marehemu Dena Amsi amefariki jana baada ya kuugua kwa siku kadhaa.

Taarifa za kina juu ya nini kilitokea na msiba upo wapi zitafuatia.

Mwenyezi Mungu amsamehe dhambi zake na kumjalia pumziko la milele.

R.I.P Dena Amsi

Dah!!
R. I. P Dena
 
Pole familia kwa msiba wa mwanawenu mpendwa jina LA bwana lihiidimiwe
 
Ni habari za kusikitisha kwa familia ya JamiiForums kwa ujumla wake.

Inadaiwa marehemu Dena Amsi amefariki jana baada ya kuugua kwa siku kadhaa.

Taarifa za kina juu ya nini kilitokea na msiba upo wapi zitafuatia.

Mwenyezi Mungu amsamehe dhambi zake na kumjalia pumziko la milele.

R.I.P Dena Amsi
Pumzika kwa amani rafiki.
 
Back
Top Bottom