TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

Mungu awatie nguvu na amani ya moyo na uvumilivu kipindi hiki cha msiba!!
R.I.P. Dena Amsi.
 
Tutamkumbuka kwa michango yake..Pole wanafamilia
 
Tunaomba mtuelekeze msiba ulipo. Siioni ni kwa vipi tunaficha kiasi hiki. Kuna watu walifiwa na wazazi na wake zao na walitupa taarifa hapa na tukahudhuria misiba hiyo. Sasa iweje mfiche jina la marehemu dada yetu wakati hakuna wa kwenda kumkamata na kumuweka rumande kwa alyoandika? Pia post zake ziko vizuri tu. Semeni ulipo msiba hata kwa location bila jina la marehemu ili walio karibu wahudhurie.
 
Wakati nausoma huu uzi kwa masikitiko makubwa sana nimekutana na memba wa kitambo ambao walipotea...

Hii inaonekana kuna mawasiliano baina ya kila memba kutokana na ukaribu uliokuwepo hapa wakati wa kuchangia mada na imeleta urafiki...

Ni jambo jema sana hili,msiba wa Dena umetukutanisha tena...

Dark City
Rejao
ram
charminglady
Mr. Rocky
Belinda Jacob
Asprin

Na wengine wengi niliowaona humu...

NIseme tu ukweli kwamba huu msiba umeniuma sana sina la kufanya,Mungu amrehemu sana rafiki yangu Dena...

Daaah!!
 
Kwanza natoa pole kwa ndugu na jamaa wote wa Deni Amsi. Mwenyeezi Mungu amlaze pahala pema peponi.
 
Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina lake libarikiwe.
 
Wakati nausoma huu uzi kwa masikitiko makubwa sana nimekutana na memba wa kitambo ambao walipotea...

Hii inaonekana kuna mawasiliano baina ya kila memba kutokana na ukaribu uliokuwepo hapa wakati wa kuchangia mada na imeleta urafiki...

Ni jambo jema sana hili,msiba wa Dena umetukutanisha tena...

Dark City
Rejao
ram
charminglady
Mr. Rocky
Belinda Jacob
Asprin

Na wengine wengi niliowaona humu...

NIseme tu ukweli kwamba huu msiba umeniuma sana sina la kufanya,Mungu amrehemu sana rafiki yangu Dena...

Daaah!!
Kweli mkuu amewatoa hata waliokuwa mafichoni, pumzika kwa amani dada yetu.
 
Pumzika kwa Amani mwanaJF Dena Amsi. Kwa kweli posts zako au michango yako ktk mada mbalimbali zilinifanya nipende JF. RIP
 
Back
Top Bottom