Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mkuu amewatoa hata waliokuwa mafichoni, pumzika kwa amani dada yetu.Wakati nausoma huu uzi kwa masikitiko makubwa sana nimekutana na memba wa kitambo ambao walipotea...
Hii inaonekana kuna mawasiliano baina ya kila memba kutokana na ukaribu uliokuwepo hapa wakati wa kuchangia mada na imeleta urafiki...
Ni jambo jema sana hili,msiba wa Dena umetukutanisha tena...
Dark City
Rejao
ram
charminglady
Mr. Rocky
Belinda Jacob
Asprin
Na wengine wengi niliowaona humu...
NIseme tu ukweli kwamba huu msiba umeniuma sana sina la kufanya,Mungu amrehemu sana rafiki yangu Dena...
Daaah!!