TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

Innalillah wainnaliLlah rajiun.

Japo sikiwahi kukufahamu hapa Jf.
Allah akustiri na kukuhifadhi na pia akupunguzie adhabu ya Kabr(Barzakh)
 
Wafiwa, ndugu, jamaa na marafiki zake poleni sana.

Dena Amsi ana legacy gani hapa jamvini? Anakumbukwa kwa lipi?
 
Mkuu Mulama, pole kwa msiba huu. Kwa sisi waumini wa life after life, Dena yupo na anasoma kila tunachoandika, kilichokufa na kuzikwa ni mwili, a physical body, lakini roho, a spiritual body haifi, roho ndio inayokwenda mbinguni au peponi kwenye raha ya milele au jehanum kwenye zawa la moto na mateso ya milele, na kwa majibu wa michango ya Dena Amsi humu jf, japo mimi sio Mungu, ila saa hii tunapoendelea kuchangia uzi huu, roho yake iliishapokelewa mbinguni kwa Baba saa nyingi.

Paskali
Rejea.
Muda mfupi Kabla ya Kukata roho: NINI HUTOKEA? | JamiiForums | The ...
Life After Life: Regia Mtema (RIP) Amerejea Bungeni Kiaina ...
"Will Powers!", "Faith Healing!"-Nguvu za Miujiza Ya Uponyaji kwa Imani ...
Psychic Powers: Ni Nguvu za Kufanya Miujiza. Wengi wanazo bila ...

 
Pole sana Mulama ,RIP dada Dena.
 
Kuhusu picha,je ni ya kwake au ya bibi yake mzaa baba akiwa kijana?
Kama si yake,unaweza kutuwekea picha yake?huenda ni mtu tuliyekuwa tukimfahamu kabla ya mauti.
 
Wafiwa, ndugu, jamaa na marafiki zake poleni sana.

Dena Amsi ana legacy gani hapa jamvini? Anakumbukwa kwa lipi?
Ungekua inafatilia sana Jf ungemjuatuu kuwa Jf si kusoma na kutoa mada tuu Bali hata memba unatakiwa kuwafahamu hasa wakongwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…