kengeledoi
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 325
- 230
Upo mpendwa, ukanikimbiaWhaaaaaat?OMG!
Allah akujaalie kaul thabit Dena [emoji17] [emoji120]
Sikuwahi kuonana na Dena ana kwa ana, lakini kwa kupitia michango yake hapa kwenye majukwaa mbalimbali, ni kuwa tumempoteza mwenzetu mmoja muhimu sana.Ni habari za kusikitisha kwa familia ya JamiiForums kwa ujumla wake.
Inadaiwa marehemu Dena Amsi amefariki jana baada ya kuugua kwa siku kadhaa.
Taarifa za kina juu ya nini kilitokea na msiba upo wapi zitafuatia.
Mwenyezi Mungu amsamehe dhambi zake na kumjalia pumziko la milele.
R.I.P Dena Amsi
==================
Balaa brother, balaa kubwaKisukari Kisukari
Sawa mkuuTunafahamiana sana mbona? Bila hivyo usingepata hii taarifa