TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

R.I.P Dena Amsi

Mungu awape faraja familia yake nasis wana JF katika kipindi hiki kigumu.
 
Pumziko la milele umpe ee Bwana, na mwanga wa milele umwangazie, apumzike kwa amani, amina!
Pole kwa familia, ndugu na jamaa! Mungu atawafariji
You will be missed dear Desii Dena!
 
Sisi sote ni waja wa Mwz Mungu nakwake Ndio marejeo yetu.
 
Ni habari za kusikitisha kwa familia ya JamiiForums kwa ujumla wake.

Inadaiwa marehemu Dena Amsi amefariki jana baada ya kuugua kwa siku kadhaa.

Taarifa za kina juu ya nini kilitokea na msiba upo wapi zitafuatia.

Mwenyezi Mungu amsamehe dhambi zake na kumjalia pumziko la milele.

R.I.P Dena Amsi

==================
Sikuwahi kuonana na Dena ana kwa ana, lakini kwa kupitia michango yake hapa kwenye majukwaa mbalimbali, ni kuwa tumempoteza mwenzetu mmoja muhimu sana.
Tulikupenda Dena, lakini Mola amekupenda Zaidi. Pumzika kwa Amani!
 
R.I.P.......Njia yetu ni moja lakini umetangulia mapema Dena Amsi..
Mungu ailaze roho ya Malehemu mahari pema peponi AMEN
 
Kwaheri Dena Amsi,
Kwaheri dada wa Hiyari
Kwaheri Shogangu
Kwaheri Msema kweli ambaye ulikuwa huogopi kuusemea moyo wako
Umetangulia nasi tupo nyuma yako kwani kwa imani yangu tunaamini kila kiumbe kitaonja mauti
Kwaheri rafiki na Mwenye enzi Mungu akulaze mahali pema peponi

Amina.....
 
Mungu wangu jaman jaman... Ni njia yetu sote apumzike kwa amani... Maskin simfaham kwa macho lakn kupitia jf ni km mwanafamilia
Jaman dah
Ee Mungu utujalie mwisho mwema
 
Back
Top Bottom