Tindikali
JF-Expert Member
- Mar 26, 2010
- 2,086
- 2,823
Ungekua inafatilia sana Jf ungemjuatuu kuwa Jf si kusoma na kutoa mada tuu Bali hata memba unatakiwa kuwafahamu hasa wakongwe
niwafahamu members ili iweje? hili kimsingi ni anonymous board!
ok, wewe unaemfahamu, legacy yake ni nini hapa? Hujui! Huelewi, huwezi kueleza, sasa unamfahamu kitu gani?
Mwanao akikuuliza hivi huyu hayati Nyerere namsikia watu wanamkumbuka sana, legacy yake nini, utamwambia "ungekua unafuatilia siasa za Tanzania ungemjua Nyerere..." is that the answer? Mijitu mingine bana!
Kwa taarifa yako naweza kuwa niko hapa just as long as you have na labda kukupita, hilo jina DenaAmsi nalijua, nadhani alikuwa ana avatar ya kichwa kina ki niqab cha pinki kichwani, sio huyo?
But that's not the point. Nauliza anakumbukwa zaidi kwa lipi huyo Dena Samsi ambae tumejaza ma pages ya R.I.P. na vilio vya tunamkumbuka, tunamkumbuka... tunamkumbuka kwa lipi hapa jamvini??