TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

Ungekua inafatilia sana Jf ungemjuatuu kuwa Jf si kusoma na kutoa mada tuu Bali hata memba unatakiwa kuwafahamu hasa wakongwe

niwafahamu members ili iweje? hili kimsingi ni anonymous board!

ok, wewe unaemfahamu, legacy yake ni nini hapa? Hujui! Huelewi, huwezi kueleza, sasa unamfahamu kitu gani?

Mwanao akikuuliza hivi huyu hayati Nyerere namsikia watu wanamkumbuka sana, legacy yake nini, utamwambia "ungekua unafuatilia siasa za Tanzania ungemjua Nyerere..." is that the answer? Mijitu mingine bana!

Kwa taarifa yako naweza kuwa niko hapa just as long as you have na labda kukupita, hilo jina DenaAmsi nalijua, nadhani alikuwa ana avatar ya kichwa kina ki niqab cha pinki kichwani, sio huyo?

But that's not the point. Nauliza anakumbukwa zaidi kwa lipi huyo Dena Samsi ambae tumejaza ma pages ya R.I.P. na vilio vya tunamkumbuka, tunamkumbuka... tunamkumbuka kwa lipi hapa jamvini??
 
niwafahamu members ili iweje?

ok, wewe unaemfahamu, legacy yake ni nini hapa? Hujui, huelewi, huwezi kueleza, unamfahamu kitu gani sasa?

Mwanao akikuuliza hivi huyu hayati Nyerere namsikia watu wanamkumbuka sana, legacy yake nini, utamwambia "ungekua unafuatilia siasa za Tanzania ungemjua..." is that the answer? Mijitu mingine bana!

Kwa taarifa yako naweza kuwa niko hapa just as long as you have na labda kukupita, hilo jina DenaAmsi si geni, nadhani alikuwa ana avatar ya kichwa kimevaa ki niqab cha pinki kichwani, sio huyo?

Kwahyo labda ulikuwa unamaanisha nini na hii reply yako kabla wengine hatujaanza kukujibu.
 
Nafikiri hata wewe ukifa regardless of any legacy utayoiacha tutakuandikia tu RIP upumzike kwa amani simply because ulikuwa MwanaJF mwenzetu
 
niwafahamu members ili iweje?

ok, wewe unaemfahamu, legacy yake ni nini hapa? Hujui, huelewi, huwezi kueleza, unamfahamu kitu gani sasa?

Mwanao akikuuliza hivi huyu hayati Nyerere namsikia watu wanamkumbuka sana, legacy yake nini, utamwambia "ungekua unafuatilia siasa za Tanzania ungemjua..." is that the answer? Mijitu mingine bana!

Kwa taarifa yako naweza kuwa niko hapa just as long as you have na labda kukupita, hilo jina DenaAmsi si geni, nadhani alikuwa ana avatar ya kichwa kimevaa ki niqab cha pinki kichwani, sio huyo?

But that's not the point. Nauliza anakumbukwa zaidi kwa lipi huyo Dena Samsi ambae tumejaza ma pages ya R.I.P. na vilio vya tunamkumbuka, tunamkumbuka... tunamkumbuka kwa lipi hapa jamvini??
Ama kweli Kuna watu Na viatu..!!
 
Legacy, ungeiweka kwa muktadha wa tamaduni zetu sisi "Waswahili" ungeeleweka kirahisi.

Kuhuzunika pamoja kwa siye "Waswahili" ni jambo la kawaida. Umekiri wengi tumehuzunika, nina hakika hakuna aliyehongwa ili kuhuzunika kwa kifo cha mpendwa wetu. Kuna mambo kama hayo yapo kwenye hisia za wanaoomboleza. Ni mambo yasiyopimika au kuhesabiwa.

Kuwa na MTU mliyekuwa mnakasirika na kufurahi pamoja na mkamsikitikia katika safari yake ya Mwisho hiyo ni "legacy" kubwa tu.

Kama ambavyo tunahudhuria misiba ya tunaowapenda mitaani kwetu na kuhuzunika sana. Si lazima aliyeondoka awe na legacy unayoitaka itajike. Kama hujahuzunika au kuumia basi msiba haukuhusu.
 
Mtoa taarifa umetusikitisha sana kwa sababu hukutuambia mazishi lini ili watu wangefanya kuhudhuria msiba na kufanya mazishi.

Tutamkumbuka Dena Amsi na ni huzuni kubwa kumpoteza mwanajamii forums mwenzetu. Mwenyezi Mungu ampumzishe kwa amani.
 
Legacy, ungeiweka kwa muktadha wa tamaduni zetu sisi "Waswahili" ungeeleweka kirahisi.

Kuhuzunika pamoja kwa siye "Waswahili" ni jambo la kawaida. Umekiri wengi tumehuzunika, nina hakika hakuna aliyehongwa ili kuhuzunika kwa kifo cha mpendwa wetu. Kuna mambo kama hayo yapo kwenye hisia za wanaoomboleza. Ni mambo yasiyopimika au kuhesabiwa.

Kuwa na MTU mliyekuwa mnakasirika na kufurahi pamoja na mkamsikitikia katika safari yake ya Mwisho hiyo ni "legacy" kubwa tu.

Kama ambavyo tunahudhuria misiba ya tunaowapenda mitaani kwetu na kuhuzunika sana. Si lazima aliyeondoka awe na legacy unayoitaka itajike. Kama hujahuzunika au kuumia basi msiba haukuhusu.
Achana naye huyo utakutwa limevurugwa na maisha ya familia linataka kuhamishia huku
 
Legacy, ungeiweka kwa muktadha wa tamaduni zetu sisi "Waswahili" ungeeleweka kirahisi.

Kuhuzunika pamoja kwa siye "Waswahili" ni jambo la kawaida. Umekiri wengi tumehuzunika, nina hakika hakuna aliyehongwa ili kuhuzunika kwa kifo cha mpendwa wetu. Kuna mambo kama hayo yapo kwenye hisia za wanaoomboleza. Ni mambo yasiyopimika au kuhesabiwa.

Kuwa na MTU mliyekuwa mnakasirika na kufurahi pamoja na mkamsikitikia katika safari yake ya Mwisho hiyo ni "legacy" kubwa tu.

Kama ambavyo tunahudhuria misiba ya tunaowapenda mitaani kwetu na kuhuzunika sana. Si lazima aliyeondoka awe na legacy unayoitaka itajike. Kama hujahuzunika au kuumia basi msiba haukuhusu.

Angalau wewe mkuu umepata busara na maneno ya kumwandikia huyu Mwana JF mwenzetu. Hata hivyo idadi yetu imekuwa nyingi sana, yote lazima tuyasome. Apumzike kwa amani D.A.
 
Kwahyo labda ulikuwa unamaanisha nini na hii reply yako kabla wengine hatujaanza kukujibu.

nimeandika posti mbili ndefu nikianisha swali langu, kama hujanielewa sidhani kama kuna jinsi ya kuiweka vingine.

Legacy, ungeiweka kwa muktadha wa tamaduni zetu sisi "Waswahili" ungeeleweka kirahisi.

Kuhuzunika pamoja kwa siye "Waswahili" ni jambo la kawaida. ...

Kama hujahuzunika au kuumia basi msiba haukuhusu.

Legacy ningeiweka kwa muktadha wa nyinyi Waswahili ningeeleweka?

Kwa hiyo huu msiba wawahusu Waswahili tu? Nitaiwekaje legacy kwenye muktadha wa legacy za Kiswahili kama labda mimi sio Mswahili?

Waswahili kuhuzunika msibani ni jambo la kawaida na kama sijahuzunika msiba haunihusu. Kwa hiyo huu ni msiba wa Kiswahili mimi siwezi kuulewa, sio?

Msiba wa Kiswahili ni kwamba hauna mambo ya kueleza kuhusu legacy za marehemu, tunamkumbukia nini marehemu, ni tunalia weee, tunazika, tunakula ubwabwa, tunajaza ma pages ya R.I.P, tuna move forward!

Sawa ndugu, labda sintakaa nikaelewa misiba ya Kiswahili!
 
nimeandika posti mbili ndefu nikianisha swali langu, kama hujanielewa sidhani kama kuna jinsi ya kuiweka vingine.

Legacy ningeiweka kwa muktadha wa nyinyi Waswahili ningeeleweka?

Kwa hiyo huu msiba wawahusu Waswahili tu? Nitaiwekaje legacy kwenye muktadha wa legacy za Kiswahili kama labda mimi sio Mswahili?

Waswahili kuhuzunika msibani ni jambo la kawaida na kama sijahuzunika msiba haunihusu. Kwa hiyo huu ni msiba wa Kiswahili mimi siwezi kuulewa, sio?

Msiba wa Kiswahili ni kwamba hauna mambo ya kueleza kuhusu legacy za marehemu, tunamkumbukia nini marehemu, ni tunalia weee, tunazika, tunakula ubwabwa, tunajaza ma pages ya R.I.P, tuna move forward!

Sawa ndugu, labda sintakaa nikaelewa misiba ya Kiswahili!
Sawa Mkuu. Tuna kurasa kadhaa kwenye huu Uzi, kama hujaelewa kwa nini Watu wanahuzunika pengine kama nilivyosema msiba "haukuhusu".

Na kama nimekusoma vizuri wewe si "Mswahili" mwenzetu. Sikulaumu, tamaduni zinatofautiana, kwa siye "Waswahili" huwa tunajua legacy ya marehemu tunapoomboleza na kupiga soga hapa na pale. Hatuulizi "legacy" ya marehemu katikati ya waombolezaji, ni adabu mbaya.

Jamii forums jamvi kubwa, tuna wenzetu wengi wasiyo "Waswahili", nina imani wewe ni mmoja wao. Sikulaumu, nimefurahi unaandika Kiswahili fasaha.
 
Back
Top Bottom