TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

Msiba wa Dena Amsi umetusitua wengi sana maana siku Moja kabla ya kifo chake nilipiga nae story sana nyumbani kwao. Alikuwa mzima kabisa na kiukweli alikuwa MTU wa watu kaniaaidia mambo mengi sana mpaka siku ya mwisho kuonana nae nilikuwa natafuta sanduku la posta la manispaa ya kinondoni alinisaidia akampigia rafiki yake nikalipata. Kwa wale ambao mngependa kuja kuwapa pole wafiwa msiba ulikuwa BUNJU A shule maeneo ya juleva.mungu ailaze pema roho ya Dada yetu Dena Amsi(Leah Flavian komba) jina lake halisi
 
Pole sana Kiongozi.

Tunashukuru sana kwa Taarifa za kina.

Napenda sana nije kuwapa pole Wafiwa.

Kwa bahati mbaya kwa hivi sasa nipo mbali na Nyumbani.

Panapo Majaliwa InshaAllah Bongo nitatua Mwezi wa Pili.

Kwa kweli haya maelezo yamenigusa sana.

Mwenyezi Mungu ailaze Roho ya Dada yetu LEAH FLAVIAN KOMBA pema PEPONI,

AAMIN
 
Sio jambo rahisi kumpoteza rafiki mpendwa

Ila mipango ya Mungu haina makosa...

Tangulia Dena wetu...

Pumzika kwa amani mama.

Hilo tu ndilo naloweza kukuombea kwa sasa...
Hakika.

Kazi/Mipango ya Mungu haina makosa
 
Back
Top Bottom