Kweli Kiongozi.Hii safari ya wote ila mwenzetu umetangulia nenda salama swahiba waambie tunakuja.
Pole sana Kiongozi.Msiba wa Dena Amsi umetusitua wengi sana maana siku Moja kabla ya kifo chake nilipiga nae story sana nyumbani kwao. Alikuwa mzima kabisa na kiukweli alikuwa MTU wa watu kaniaaidia mambo mengi sana mpaka siku ya mwisho kuonana nae nilikuwa natafuta sanduku la posta la manispaa ya kinondoni alinisaidia akampigia rafiki yake nikalipata. Kwa wale ambao mngependa kuja kuwapa pole wafiwa msiba ulikuwa BUNJU A shule maeneo ya juleva.mungu ailaze pema roho ya Dada yetu Dena Amsi(Leah Flavian komba) jina lake halisi
Acha tuRIP Dena Amsi, pole familia
Miaka 6 pamoja JF ni mingi sana, tangulia ndugu sisi nyuma yako. Kweli kizuri hakidumu
NaamTumshukuru mungu kwa kila jambo,R I P.
Hakika.Sio jambo rahisi kumpoteza rafiki mpendwa
Ila mipango ya Mungu haina makosa...
Tangulia Dena wetu...
Pumzika kwa amani mama.
Hilo tu ndilo naloweza kukuombea kwa sasa...
NaamSisi sote ni wa Mola na kwake tutarejea.
AAMINMollah ampe kauli Thabit
HakikaAma kwwli kifo ni chauchungu sana na akizoelekk R.I,P
KabisaKwa hakika kila nafsi Itaonja umauti! Pumzika kwa amani
Daaaah.... Kazi ya Mungu haina makosa
Raha ya milele umpe eeh bwana
Na mwanga wa milele umuangazie
Apumzike kwa amani
Amina!
Njia Moja tunayoelekea tutafuata.
Pumzka kwenye Uhuru
KweliInabidi kuamini kaka hii dunia kuna vitu hata tufanyeje hatuwezi kuvibadilisha.
Kuwafanyia Maombi waliotutangulia ni Muhimu sanaR.I.P
Tunakuombea na wote waliotutangulia
Maisha hayaTumejadili naye mambo mengi sana. Tumeshare jokes nyingi sana. Siwezi kuacha kutoa salam zangu za mwisho kwake
Ni pigo kubwa sanaTutamiss michango yako. Kweli huu msiba umetugusa.
AAMINAlale pema
Ubarikiwe KiongoziMungu wa amani akupe pumziko la milele na Natoa pole kwa ndugu jamaa marafiki na wanaJamii forum kwa kuondokewa na mpendwa wetu Dena. Naomba Mungu awape ustahimilivu katika hili