TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

Innalillah Wa innaillaih rajiun,aisee nimesikitika sana na hii taarifa
 
Hizi habari zimenishtua sikujua kwamba Dena Amsi ametangulia mbele ya haki. Mbele yetu sisi nyuma yake. R.I.P Dena Amsi.
 
Back
Top Bottom