TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

Mungu amtendee haki!

Kama yafaa kumuombea,fanya hivyo laakin kuhusu kutendewa haki,MOLA MLEZI AMETAKASIKA na ni HAKIMU WA KWELI,hatamdhulumu mja hata kiasi kidogo cha jema au baya alilolifanya hata liwe dogo mfano wa chembe ya kokwa ya tende.
 
Kuna members huwa tunafahamiana hata kwa hizi fake ID. Binafsi nawafahamu watu kiasi wa humu na huwa tunakuwa wote. so ikitokea tatizo tunakuwa tunajua kabisa...

Si mbaya pia kama kwenye urithi/mirathi/wosia tukawa tunaandika nani wa kurithi Account yako ya JF
 
Ni habari za kusikitisha kwa familia ya JamiiForums kwa ujumla wake.

Inadaiwa marehemu Dena Amsi amefariki jana baada ya kuugua kwa siku kadhaa.

Taarifa za kina juu ya nini kilitokea na msiba upo wapi zitafuatia.

Mwenyezi Mungu amsamehe dhambi zake na kumjalia pumziko la milele.

R.I.P Dena Amsi

==================
R.I.P Dena...
 
Back
Top Bottom