TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

Wakati nausoma huu uzi kwa masikitiko makubwa sana nimekutana na memba wa kitambo ambao walipotea...

Hii inaonekana kuna mawasiliano baina ya kila memba kutokana na ukaribu uliokuwepo hapa wakati wa kuchangia mada na imeleta urafiki...

Ni jambo jema sana hili,msiba wa Dena umetukutanisha tena...

Dark City
Rejao
ram
charminglady
Mr. Rocky
Belinda Jacob
Asprin

Na wengine wengi niliowaona humu...

NIseme tu ukweli kwamba huu msiba umeniuma sana sina la kufanya,Mungu amrehemu sana rafiki yangu Dena...

Daaah!!
Kaka hata wewe umepotea...RIP Dena.
 
Nimetafuta maneno ya kuandika Vile ninavyojisikia moyoni lakini nimekosa cha kuandika. Nikitaka kupinda hili nitakuwa napingana na mapenzi ya mwenye Mungu.

HATA MIKONO INATETEMEKA KUYAANDIKA HAYA. NENDA dena Amsi.

Nenda ukiamini umetuumiza wengi katika hii safari yako. Uliponifuata pm siku moja baada ya kuchangia mada kwa lugha kali itabaki kuwa kumbukumbu bora kwangu.

Msalimie Regia Mtema
Msalimie Mtafiti
Na msalimie Dotto Mzava. Waambie hata sisi tunakuja huko.

Ukifanikiwa kukutana na Wifi yako NEEMA mwambie kuondoka kwake kumeondoa hisia zote za mapenzi Moyoni Mwangu.

GONA NPEHO DADA
Huyo Mtafiti ulimaanisha nani?
 
[emoji24] [emoji24] [emoji23] [emoji23] jamiiforums tunakulilia.
 
[QUOTE="Miiku, post: 19047419, member: 251772 [emoji23] [emoji23] jamiiforums tunakulilia.[/QUOTE]
 
[QUOTE="Miiku, po[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] jamiiforums tunakulilia.[/QUOTE]
 
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] jamiiforums inakulilia.
 
[QUOTE="kiwatengu, post: 19047349, member: 103490s Mtafiti ulimaanisha nani?[/QUOTE]
Dah nimechanganya jina mkuu! Nilitaka kumaanisha somebody Julius ila ana jina flan hivi alikuwa akitumia hapa jf
 
Back
Top Bottom