Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,551
- 2,153
Asante Mkuu,Daah ninamjua sana kuaga itakuwa Lugalo Military Hospital.Pole, kumbe ulikuwa unamfahamu kabisa.!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante Mkuu,Daah ninamjua sana kuaga itakuwa Lugalo Military Hospital.Pole, kumbe ulikuwa unamfahamu kabisa.!
Okay mkuu asante kwa ufafanuzi. Nimesoma post ya nyuma ndio ilielezea hivyo.!Mazishi sio leo kama sikosei nadhani mwili utaagwa alhamisi
Ataagwa kuelekea wapi mkuu?Asante Mkuu,Daah ninamjua sana kuaga itakuwa Lugalo Military Hospital.
Pole kaka! Tumempoteza mwana CC mzuri.Okay mkuu asante kwa ufafanuzi. Nimesoma post ya nyuma ndio ilielezea hivyo.!
Hahahaah mbona unacheka. Na wewe mume ulimpatia humu??[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Nitaziangalia point zangu kwa jicho la 3 kwa nia njema.Mkuu nimekuelewa kwa 101%. Angalia points zako kwa jicho la 3. Hata hivyo tukubali tu kutokubaliana. Let's close this discussion.
Kweli kabisa mkuu.Pole kaka! Tumempoteza mwana CC mzuri.
Ni lugha gani hiyo afrodenzi, kama hutajali?
IRP
ila nauliza kwamba mlimjuaje wakati wana jf hatujuani kwa majina yetu halisi?