TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

Mkuu nimekuelewa kwa 101%. Angalia points zako kwa jicho la 3. Hata hivyo tukubali tu kutokubaliana. Let's close this discussion.
Nitaziangalia point zangu kwa jicho la 3 kwa nia njema.
Pia nakubaliana na busara zako mkuu.
RIP Dena.
 
Pumzika pema Dena, Poleni sana ndugu, jamaa na marafiki na Mungu awape ustahimilivu katika kipindi hiki
 
IRP
ila nauliza kwamba mlimjuaje wakati wana jf hatujuani kwa majina yetu halisi?
 
JAPO AVATAR YAKE WAKUU MTUEKEE MAANA WENGINE JF TUNA MIAKA ISIYOZIDI MI 3 KAMA WACHANGIAJI/MEMBER
 
Mungu akuweke mahali pema akupumzishe kwa amani. Na awape wepesi ndugu na jamaa zako ktk kipindi hiki kigumu
 
Back
Top Bottom