Mfitinishaji
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 571
- 600
RIP
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maisha ya JF na ubaya wa fake id....
Any way apumzike kwa amani....dada yetu kipenzi....
Mkuu ni wewe tu hufahamiani na watu ndio maana unaona ubaya wa Fake ID Laiti ungelijua tunaofahamiana humu usingeona ubaya wake.
Dena alikuwa member mwenzetu wa hapa lakini ambacho hukijui alikuwa rafiki wa wengi nje ya JF na wana JF kwa wale ambao tunaaminiana.
Pumzika kwa amani mpendwa tutakukumbuka milele.
humu wapo watu wanajuana wengine wamekua marafiki haswaaHuwa najiuliza,hivi ni nani anatoa taarifa za msiba wa mwana JF,huwa anajuaje kuwa huyu ni member,maana mimi nikimaliza kuchat tu nasign out.
Au huwa anaacha bila kusign out na ndiyo njia pekee mtu anaweza kuona ID japo bila password.
Faiza Foxy mbona hatumi RAMBIRAMBI?Ni habari za kusikitisha kwa familia ya JamiiForums kwa ujumla wake.
Inadaiwa marehemu Dena Amsi amefariki jana baada ya kuugua kwa siku kadhaa.
Taarifa za kina juu ya nini kilitokea na msiba upo wapi zitafuatia.
Mwenyezi Mungu amsamehe dhambi zake na kumjalia pumziko la milele.
R.I.P Dena Amsi
njia yetu moja brother tangulia kwa aman na ukafikie unapostahili kwa matendo yako ya enzi za uhai.