Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inauma sanaNo no siamini Mungu wangu daaah nilikuwa naona nae sana wakati anapita kwenda Nairobi
Heshima yako....Mwenyezi Mungu awape moyo wa uvumilivu, katika kipindi hiki kigumu. Ndugu, jamaa, marafiki na wana JF wote.
Rest In Peace Dena...
Huyu amekuwa kimya sana pamoja na wakongwe wengi tu.Kweli msiba mkubwa huu, hadi wewe leo umeonekana? Miss you a lot
RIP Dena
Wewe mbona hujuani na mimi [emoji15] [emoji15]Sikuhizi kuna kufahamiana kati ya memba huyu na yule
Na hasa hizi grps zimetuleta karibu zaidi. So inakua rahisi kujua kilichomsibu mwingine
R.I.P Dena... Pole kwa ndugu,jamaa na marafiki kwa kumpoteza mpendwa wetu
Wadau mnajificha wapi?RIP mpambanaji DA
Uko sawa mkuu, Kutumia ID fake haiondoi ukweli.Sijakulazimisha kutelezea wasifu wa ndugu yetu Marehemu, ila kila mtu anaweza kumuelezea kwa jinsi anavyomfahamu sio kuleta hapa mawazo mfu eti tusiseme au kueleza wasifu wa ndugu Dena Amsi kwa sababu alitumia Fake ID hapa JF!!.
Akina Oscar Kambona, Bibi Titi Mohamed, John Okello, Omari Makunganya, Chief Mkwawa wasifu wao ungefichwa leo hii watu tungeliwafahamu kweli?
Acha mawazo mfu wewe!!!
Wengi wamebaki ni wasomaji zaidi maana ladha ya JF inapotea siku hizi.Wadau mnajificha wapi?
asante kwa info... R.I.P Dena...doooh this life I leadKwao na Dena Amse night Bunju A au Bunju Shule. ..
Ukifika Bunju A ulizia wapi ilipo Baa Juleva
Nyumbani kwao ni opposite na hiyo Baa.
Msiba upo hapo. . Baba yake anaitwa Mwalimu Komba
Sina details nyingine maana nipo nje ya Dar
Hongera Angel Nylon kwa kusilimu,maandishi yako yako tofauti na jina na sura yako.Allah Amjaalie safari ya kheri. Na Amsamehe madhambi yake. Amina. Inna lilah wainna ilayh rajiuun