TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

Pumzika kwa amani Mungu aipe wepesi familia yako katika jambo hili zito.
 
Pumzika kwa amani Dena Amsi, nakukumbuka sana tangu enzi za Jambo Forum, ulitokea kunivutia sana kimoyomoyo, mbele yetu nyuma yako kipenzi.
 
Nimefurahi kukusoma Eiyer japokuwa ni kuhusiana na tukio la kuhuzunisha.
Aah dada Dena Amsi tulifahamiana kitambo bila kuhusianisha id yake. Nimesikitika mno. Niliweza kushiriki kumsindikiza kwenye safari yake ya milele leo hii.
Lala salama mumie. Amen!
Dah!!

Ahsante sana kwa kushiriki katika kumsindikiza kwenye safari yake ya mwisho,inauma sana lakini hatuna namna....

Kiukweli sikua naamini lakini hakuna namna,inauma sana mtu mliyekuwa mkitaniana na kujadili mammbo mengi anaondoka namna hii,inauma sana kwakweli....

Nimefurahi pia kukuona hapa,changamoto kama hizi hukutanisha wengi sana,tuendelee kuombeana uzima dada yangu...

Mungu awape nguvu ndugu ambao ndiyo wanaumia zaidi na zaidi....

Daaaaaah!!

Pumzika kwa amani dada Dena Amsi,we will miss you....

 
Kwa mnaotaka kujua chanzo ni kwamba alikuwa na matatizo ya kisukari tangia akiwa Nairobi, tarehe 24/12 kisukari kilipanda kwa kasi kikachanganya na presha, akakimbizwa zahanati ya karibu lakina hali ikazidi kuwa mbaya, ikabidi apelekwe Hospital ya Rabninsia lakini baada ya muda mchache akakata roho.
Dah!!

Am speechless.....
 
IRP
ila nauliza kwamba mlimjuaje wakati wana jf hatujuani kwa majina yetu halisi?
Mkuu watu wanafahamiana sana. Ht mm humu nawafahamu watu kibao na nshaonana nao wengi tu na wengine mawasiliano yamekomaa hd tumekuwa km ndg.
 
Back
Top Bottom