ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,040
- 7,303
ingekuwa vizuri kama nyie watu wa UK mngemmwambia Mwanaidi awaombe radhi watanzania kwani anatumia pesa za walipa kodi ambao si wanaCCM kufungua matawi ya ccm huko UK. Ametumwa kuliwakilisha taifa na si ccm. Je ufunguzi wa hayo matawi ya ccm huko UK ni moja ya Terms za reference kwa katika majukumu yake kama balozi, na kama ni hivyo basi aencourage na cuf na chadema na vyama vingine vifungue matawi huko to make her sound with more non sense.
Ni muhmu tuwe coherent katika mjadala, tukipandisha mjadala mmoja juu ya mwingine na mwingine tutapotea njia. Hoja yangu ya msingi ni kudenounce lugha ya kwamba kitendo cha kufungua matawi ya CCM nje ya nchi ni upuuzi, this statement is patronizing and statement from Zitto is needed.
Swala la kukaribishwa kwa balozi katika shughuli za ufunguzi wa matawi ni mjadala mwingine ambao naomba kwa sasa nisiuguse.